Muislam wa wake wawili akiokoka wake zake inakuwaje

Wengi ukielewa na kuusoma hasa Tawheed kuacha uislamu sio jambo dogo, labda kama iliingia kwasbb zisio za msingi kama kuoa, kazi, wazazi, Riziki, mkumbo, nk. Muislamu yoyote dua yake ya kila siku ni kuomba " Hoh Mola wangu nilinde katika dini yangu na almauti anikute nikiwa bado Muislamu ...." sasa mtu mwenye dua hiyo tena kwa hiari abadili hiyo Dini yake?......
 
Haina jibu la Moja kwa Moja inaitaji Hekima; na haipaswi kuwa pressure bali inatakiwa akue katika wokovu taratibu na kutengeneza uwezo wa kiroho na atapata njia!

Walokole wa pumbavu wasio na Hekima wanaweza mpa pressure sijui kama kiumbe kipya na hakika hata huo wokovu ataishindw!
 
Sawa mkuu point tatu beba wewe,ikiwa tu huyo unaeamini ana dua hiyo anazini huku amekatazwa kabisa asizini na anazini uje leo uamini eti hawezi kuacha dini?

Labda kama unataka kubishana.
 
Sawa mkuu point tatu beba wewe,ikiwa tu huyo unaeamini ana dua hiyo anazini huku amekatazwa kabisa asizini na anazini uje leo uamini eti hawezi kuacha dini?

Labda kama unataka kubishana.
Mkuu Dhambi kubwa katika Uislamu ni kua Murtadi na adhabu yako ni kuuliwa kwa kupondwa mawe, kuzini kunywa pombe kutukana ni rahisi mtu kutubu ila Murtadi ni hatari Dhabi kubwa sanaaa hamna muislamu anae tamani kulitenda labda yule alie ingia uislamu kwa kazi maalumu au mjinga asie jua dini yake.
 
Dini ya haki huwezi kuokoka/kuwa mlokole.
 
Nipe andiko linalosema usije Wanawake wengi
 
Lete andiko Hilo la mke mmoja na
 
Tunagawa wastani kwa idadi😎
 
Huyu alikua mpelelezi nakuapia hamna muislamu anae jua na kuelewa Tawheed akaokoka haliwezekane, nisawa sawa na kuseme mtu ana badilika au anatamani kua ng'ombe
Una mfahamu Yohana omary? (Yahaya omary) Ingia hata YouTube utamkuta halafu kanusha Tena. Na alikuwa kiongozi wa msikiti hapo Daslam saivi ni msabato sio yeye pekee wapo wengi
 
Akiwakabidhi kwa mchungaji itapendeza
 
Uko sawa kabisa watu wanabadiri Hadi jinsia iwe dini Tena uislamu! Nimemtajia jamaa mmoja alikuwa ostadhi hapo dar Hadi Sasa ni msabato kabatiza watu kibaoo wa wakiwamo waislamu kumzidi hata yeye.
 
Una mfahamu Yohana omary? (Yahaya omary) Ingia hata YouTube utamkuta halafu kanusha Tena. Na alikuwa kiongozi wa msikiti hapo Daslam saivi ni msabato sio yeye pekee wapo wengi
Unababiaha kwa ajili ya jina au, hakua Muislamu wa dhati wengi wana act kutimiza malengo yao.
 
Kumekucha sasa na waislam, mnalipwa huko makanisani kwa hizi thread juu ya wenzenu?
 
Wapo wengi wanaokoka , wengi na wanachofanya ni kumwacha mmoja kwa makubaliano, tena huwa anamtafutia mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…