Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hebu tupe misururu ya chaguzi za juzi za marudio ambazo cdm hawakushiriki tuone kukubalika kwa chama la majizi. Halafu tutaanzia hapo kwenda mbele.Ukweli ni kuwa kwa sasa CHADEMA imepuuzwa na kila mwenye akili Timamu.hii ndio sababu ya kuona watu hawana habari nayo wala kufuatilia habari zake.imebaki imejaza wahuni wahuni na matapeli tapeli tu .