Pre GE2025 Muitikio hafifu wapiga kura chaguzi za ndani CHADEMA nani alaumiwe?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukweli ni kuwa kwa sasa CHADEMA imepuuzwa na kila mwenye akili Timamu.hii ndio sababu ya kuona watu hawana habari nayo wala kufuatilia habari zake.imebaki imejaza wahuni wahuni na matapeli tapeli tu .
Hebu tupe misururu ya chaguzi za juzi za marudio ambazo cdm hawakushiriki tuone kukubalika kwa chama la majizi. Halafu tutaanzia hapo kwenda mbele.
 
kwa uchache huo unaothibitisha halafu, eti ndio mwende kushinda uchaguzi wa udiwani, ubunge au urais 🐒

thubutu 🐒
 
Kwamba kuwa na wenyeviti na makatibu na viongozi waandamizi 60 kwenye wilaya 6 za mkoa mmoja ni wachache? Basi utakua na tatizo!!
 
wachache mno,
uwakilishi finyu sana, hauwezi kua na impact yenye kuleta matokeo nje, hata kidogo 🐒

binafsi sina tatizo, endeleeni..
but utaratibu au mfumo huo una kasoro na ndio Tatizo 🐒
 
Sasa uliza Dkt Hangaya kinachomfanya atundikiwe dripu kila akisikia Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi
 
Una katiba ya Chadema????
Unataka kusema Wanachama wote ndo hupiga kura kwenye Uchaguzi wa Ndani??

Turudi kwenye CCM..
Wanaofanya uchaguzi wa Chama huwa ni Secretarieti ,NEC au Wanachama wote nchi nzima??
CCM wanachama wote wanachagua viongozi wa mashina na matawi- ngazi zingine zilizobaki wanachaguliwa na wajumbe. Kuanzia ngazi ya kata- wapiga kura hawawzi kuwa chini ya 50. Kwa ngazi ya mkoa wajumbe wamafika 1,000 +
 
Ukweli ni kuwa kwa sasa CHADEMA imepuuzwa na kila mwenye akili Timamu.hii ndio sababu ya kuona watu hawana habari nayo wala kufuatilia habari zake.imebaki imejaza wahuni wahuni na matapeli tapeli tu .
Imeachwa mioyoni
 
Na Wapiga kura wote majina yao mwisho yanaishia mbowe
 
Umeisoma.katiba ya Chadema.???
Unasemaje hawawezi wakati hujui katiba yao inasemaje??
 
Na Wapiga kura wote majina yao mwisho yanaishia mbowe
Mbowe hana watu hao- familia nzima hawzidi 50 wakiwemo na marehemu wazazi wao labda waagize na ndugu zao kutoka Malawi walikotokea
 
Kwani mapesa yeshaaingiaaa🤣
 
Ukweli ni kuwa kwa sasa CHADEMA imepuuzwa na kila mwenye akili Timamu.hii ndio sababu ya kuona watu hawana habari nayo wala kufuatilia habari zake.imebaki imejaza wahuni wahuni na matapeli tapeli tu .
Nasikia posho zenu za UWT zimechelewa kutoka mpk J4 mhasibu kasafiri
 
Ukweli ni kuwa kwa sasa CHADEMA imepuuzwa na kila mwenye akili Timamu.hii ndio sababu ya kuona watu hawana habari nayo wala kufuatilia habari zake.imebaki imejaza wahuni wahuni na matapeli tapeli tu .
Takataka kama wewe ni wa kupuuzwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…