kwamba nayo,
ni hoja ya inayoweza kumbabaisha kumuyumbisha au kudhoofisha umadhubuti, umahiri, umakini, weledi au jitihada zake za kuiongoza Tanzania ipae kiuchumi, kijamii na kisiasa kitaifa na kimataifa? π
kwamba mwenye hoja hiyo ana weledi zaid ya Dr.SSH na waTanzania?
ni nani kwanza π
ni chairman?
au puppet?
thubutu π