Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 524
- 829
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema jeshi hilo tayari limemtia mbaroni mtu mmoja aliyedaiwa kuchapisha taarifa kwenye ukurasa wa X, kwamba ''siku za Padre Kitima zinahesabika'' ikiwa ni siku chache kabla ya Padre huyo kushambuliwa.
Ameyasema hayo Mei 5, 2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye Central Jijini Dar es salaam.
Mbona hatuoni hata picha au Video??Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema jeshi hilo tayari limemtia mbaroni mtu mmoja aliyedaiwa kuchapisha taarifa kwenye ukurasa wa X, kwamba ''siku za Padre Kitima zinahesabika'' ikiwa ni siku chache kabla ya Padre huyo kushambuliwa.
Ameyasema hayo Mei 5, 2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye Central Jijini Dar es salaam.
Mbona hatumuoni mh nchi ya maaigizo kila idara CCM bhanaaKamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema jeshi hilo tayari limemtia mbaroni mtu mmoja aliyedaiwa kuchapisha taarifa kwenye ukurasa wa X, kwamba ''siku za Padre Kitima zinahesabika'' ikiwa ni siku chache kabla ya Padre huyo kushambuliwa.
Ameyasema hayo Mei 5, 2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye Central Jijini Dar es salaam.
Danganya toto hioTaarifa hiyo inaongeza "Upelelezi wa shauri hill unaendelea.Jeshi la Polisi linawashukuru wananchi na linatoa wito kuendelea kushirikiana ili kuimarisha mifumo ya usalama na kutotoa fursa kwa wahalifu kutenda makosa."
HEBU tulia kwanzakwa kosa gani? mtu katoa unabii na umetimia shida iko wapi? nikisema oct kutakuwa na uchaguzi ukifanyika nitakuwa nimetenda jinai? nikisema mdude anahatarisha maisha yake akadhurika kweli, mie ndo ntakuwa nimemtabiria uovu?
Ina maana lenyewe halina mifumo ya kupata habari mpaka litegemee maagizo ya viongozi na taarifa za wananchi?Taarifa hiyo inaongeza "Upelelezi wa shauri hill unaendelea.Jeshi la Polisi linawashukuru wananchi na linatoa wito kuendelea kushirikiana ili kuimarisha mifumo ya usalama na kutotoa fursa kwa wahalifu kutenda makosa."
Tutakukamata tuu,mdomo huumba!kwa kosa gani? mtu katoa unabii na umetimia shida iko wapi? nikisema oct kutakuwa na uchaguzi ukifanyika nitakuwa nimetenda jinai? nikisema mdude anahatarisha maisha yake akadhurika kweli, mie ndo ntakuwa nimemtabiria uovu?
kwa kosa gani? mtu katoa unabii na umetimia shida iko wapi? nikisema oct kutakuwa na uchaguzi ukifanyika nitakuwa nimetenda jinai? nikisema mdude anahatarisha maisha yake akadhurika kweli, mie ndo ntakuwa nimemtabiria uovu?
Amekamatwa pia na anahojiwa kwa kina Frey s/o Edward Cossey miaka 51Mkazi wa Dodoma na Mbezi beach Makonde Dar es Salaam kufuatia chapisho lake la vitisho dhidi ya Padri Charles Kitima alilolitoa kwenye mitandao ya kijamii siku chache kabla ya tukio."