Muliro: Aliyechapisha ujumbe kwenye Mtandao kwamba 'Siku za Padre Kitima zinahesabika'' amekamatwa

hivi babu mliro anawaonaje watanzania? kweli kutumika bila akili ni balaa sana nilishwahi kusema ukiona mzee wa miaka 70 bado anatumiwa na hajastaafu unatakiwa kujiuliza maswali mengi sana
 
Hii uneipata wapi, You tube sijaiona!
***up date
Ipo tayari You tube.
 
Natoa wito kwa jeshi la Polisi wamuachie mtu huyo mara moja maana hakuna kosa la jinai alilofanya, kuhesabu siku siyo kosa
 
Kama ni mimi nasema niliota Ndoto, na ndoto zangu hua ni za kweli.

Tuone mahakama itaamuaje
 
#VIDEO Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam, linamshikilia na Kumhoji Frey Edward Cosseny (51), mkazi wa Mbezi Beach na mkoani Dodoma kwa tuhuma ya kuchapisha taarifa ya kitisho kwa Katibu Mkuu wa baraza la maaskofu, Padre Charles Kitima, ambaye alikuja kushambuliwa April 30, 2025.

Kamanda wa Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro, anasema wanamshikilia mtu huyo kwa sababu siku chache baada ya chapisho lake ndio tukio hilo likatokea.

Huyo anakuwa mtu wa pili kukamatwa kwenye sakata la shambulio la Padre Charles Kitima. #EastAfricaTV
 
kwahiyo muliro ndiyo wameligundua leo ilo chapisho sinema nyingine hizi za kishamba sana
 
Maneno huumba,mwanakulitafuta,mwanakulipata!
 
mulilo msimuamini.
 
Weka video hiyo mkuu
 
******* walisurbiri jamaa ashambuliwe hasingeshambuliwa wangemkamata?
 
Labda yeye ndo mkewe alipitiwa na askofu.
Bora jina frey angekuwa na jina la kobazi pangeandikwa mengi.
 
MwanaCCM MWENZAO TUNATAKA WATEKAJI HUYO MAAMUMA MROPOKAJI KAMA KINA MWASHWAMBWA TU
 
Padre Kitima atumie hiyo intelijensia zao ili kuwasaidia mamlaka kuwapata waliotaka kufanya kitu kibaya ..Akishindwa basi nyie wakatoliki muache porojo zenu za kutisha watu kama mna intelijensia kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…