Muliro: Aliyechapisha ujumbe kwenye Mtandao kwamba 'Siku za Padre Kitima zinahesabika'' amekamatwa

Mwambieni huyo mceng kwamba hatumuamini
 
kwa kosa gani? mtu katoa unabii na umetimia shida iko wapi? nikisema oct kutakuwa na uchaguzi ukifanyika nitakuwa nimetenda jinai? nikisema mdude anahatarisha maisha yake akadhurika kweli, mie ndo ntakuwa nimemtabiria uovu?
Kuruka ruka Kwa maharage ndo kuiva kwake
 

Kwa hiyo Waziri asingetoa maagizo hayo, polisi walikuwa hawajaona kuwa huyo jamaa anatakiwa kuwa amekamatwa?
 
Kazi kweli kweli ngoja niendelee kufatilia hizi movie za kihindi mtoto anazaliwa anakuja kulipiza kisasi cha kuuawa baba yake movie za akina Amitha Bachan..
 
Propaganda on air🔥
 
wake za watu ni sumu ndugu viongozi wa dini
 
Huyo ni mtu wao na mwana CCM mwenzao, wanamhifadhi kwa muda tu.
 
Ni yeye kweli au ni funika kombe mwanaharamu apite?
 
Hii kesi kama sio kuzugana tusahau...mwisho kuna watu watakuwa framed
 
Polisi inatakiwa kuwa active kwa matukio yote ya kihalifu, kamata mhalifu weka ndani hata kama ni wa ccm, sio mpaka waziri aseme ndio polisi waanze msako. Watu wa ccm wanajiona wana kinga hata wakifanya uhalifu wanaona hawatashughulikiwa kwa kuwa chama chao kinatawala. Wamekuwa na kiburi sana, wana majibu mabaya hawajui hata chama chao kinaweza kuwa cha upinzani ni bora wakafanya siasa za kistaarabu kuliko kutishia watu maisha
 
Uwe unasikiliza kwanza kabla ya kuropoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…