adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,727
- 8,093
Are you serious Lucha, au na wewe account yako imedukuliwa?Natoa wito kwa jeshi la Polisi wamuachie mtu huyo mara moja maana hakuna kosa la jinai alilofanya, kuhesabu siku siyo kosa
Umenifurahisha! Unajua JF utoto mwingiHEBU tulia kwanza
Kesi Namba ngapi?Ok ok...sawa tufanye kweli alikamatwa.
Baada ya hapo kesi yake iko mahakama ipi.?
Nami nimeuliza alifikishwa mahakama ipi?Kesi Namba ngapi?
Yule ni Mtu wao, hawataweza kumfanya kitu chochote kile kibaya. Sana sana huyo Mtu atapongezwa na kufanyiwa Promotion ya Kupandishwa Cheo.siku iliyofuata alikuwa siti za mbeeeleeeeee kabisa mkutano wa mafiisiiiemu dodoma
Alishafikishwa mahakamani?!Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema jeshi hilo tayari limemtia mbaroni mtu mmoja aliyedaiwa kuchapisha taarifa kwenye ukurasa wa X, kwamba ''siku za Padre Kitima zinahesabika'' ikiwa ni siku chache kabla ya Padre huyo kushambuliwa.
Ameyasema hayo Mei 5, 2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye Central Jijini Dar es salaam.
"Amekamatwa pia na anahojiwa kwa kina Frey s/o Edward Cossey miaka 51Mkazi wa Dodoma na Mbezi beach Makonde Dar es Salaam kufuatia chapisho lake la vitisho dhidi ya Padri Charles Kitima alilolitoa kwenye mitandao ya kijamii siku chache kabla ya tukio."
Taarifa hiyo inaongeza "Upelelezi wa shauri hill unaendelea.Jeshi la Polisi linawashukuru wananchi na linatoa wito kuendelea kushirikiana ili kuimarisha mifumo ya usalama na kutotoa fursa kwa wahalifu kutenda makosa."
View attachment 3325222
Officer hapo umetutapeli, uongo wa mchana kweupe ila waja wamekustukia. Huwa matepeli, impersonators mpaka hata vibaka wa kuku huwa mnawaonyesha hapo kwenye press conference uchwara lakini leo mnatuletea hadithi tu kwenye issue ambayo ina public interest, we ain't fools.Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema jeshi hilo tayari limemtia mbaroni mtu mmoja aliyedaiwa kuchapisha taarifa kwenye ukurasa wa X, kwamba ''siku za Padre Kitima zinahesabika'' ikiwa ni siku chache kabla ya Padre huyo kushambuliwa.