Muliro: Tutashughulika na Makundi yanayopanga kufanya vurugu Novemba 6, hukumu ya Lissu

View attachment 3703916

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewaonya watu wanaopanga kufanya vurugu siku ya hukumu ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu itakayotolewa Novemba 6, 2026 katika Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Novemba 3, 2026, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema wanazo taarifa za watu "Wanahamasishana kuja Dar es Salaam baadhi yao wakiwa na malengo ya kufanya fujo au vurugu."

Amesema jeshi hilo halitasita kuwashughulikia watu hao, huku akieleza kuwa mipaka na idadi ya watu wanaotakiwa kuingia mahakamani inafahamika hivyo.
Hili nalo takataka mavi. Why anafikiria fujo na si furaha?
 
Nimetoka Dar naenda dodoma maeneo mengi ya Dar es Salaam kuna askari wamesimama tena kwenye jua kali saana. Muliro anza kuwaonea huruma maaskari, askari wako wanateseka kwa hili jua.
Aliyewaambia wasisome nani?
Wenye visomo humohumo Polisi wapo kwenye ofisi zao
 
Hili ni swali fikirishi sana mkuu?

1 .Kwamba CCM watafanya fujo baadaa ya Lissu kuachiwa?

2. CHADEMA watafanya Fujo baada ya Lissu kuhukumiwa?

Inteligensia ya polisi haiwataji mapema.
Dahhhh
Inasikitisha sana.
All in all it sends a clear message kuwa Lisu ana "Commanding Heights" katika Tanzania politics. Wanamuogopa
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limeonya dhidi ya Makundi ya Watu wanaodaiwa kuhamasishana kufanya vurugu, fujo na vitendo vya kihalifu ifikapo Novemba 6, 2026 siku ya hukumu ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, SACP Jummane Muliro amesema wamepokea taarifa za kuwepo kwa baadhi ya Watu ndani na nje ya Dar es salaam wanaohamasishana kusafiri kwenda Jijini humo siku hiyo, huku baadhi yao wakidaiwa kuwa na nia ya kufanya fujo na vurugu.

Jeshi hilo limeeleza kuwa linatambua haki ya Wananchi kufika Mahakamani, likisisitiza kuwa maeneo ya Mahakama yanajulikana na yana uwezo wa kuhudumia Watu wanaohitaji kufika kwa ajili ya shughuli za kisheria.

Hata hivyo, Polisi limeonya kuwa halitavumilia Makundi au Watu watakaobainika kupanga au kuhamasisha vurugu, hujuma na vitendo vingine vya kihalifu kwa kutumia siku hiyo kama fursa.
Intelijensia ambayo haijui hata Nchimbi alipo, mtu aliyekuwa VP.
Intelijensia ambayo haijui hata Polepole alipo, mtu aliyekuwa ambassador akiiwakilisha nchi nje ya mipaka.
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limeonya dhidi ya Makundi ya Watu wanaodaiwa kuhamasishana kufanya vurugu, fujo na vitendo vya kihalifu ifikapo Novemba 6, 2026 siku ya hukumu ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, SACP Jummane Muliro amesema wamepokea taarifa za kuwepo kwa baadhi ya Watu ndani na nje ya Dar es salaam wanaohamasishana kusafiri kwenda Jijini humo siku hiyo, huku baadhi yao wakidaiwa kuwa na nia ya kufanya fujo na vurugu.

Jeshi hilo limeeleza kuwa linatambua haki ya Wananchi kufika Mahakamani, likisisitiza kuwa maeneo ya Mahakama yanajulikana na yana uwezo wa kuhudumia Watu wanaohitaji kufika kwa ajili ya shughuli za kisheria.

Hata hivyo, Polisi limeonya kuwa halitavumilia Makundi au Watu watakaobainika kupanga au kuhamasisha vurugu, hujuma na vitendo vingine vya kihalifu kwa kutumia siku hiyo kama fursa.
Jamani pepa ishavujishwa na Muliro

Lissu anapewa mvua…dah
 
Jumanne was a Gangster.
Na umri wa kuustaaf ushafika.
FB_IMG_17906010344076742.jpg
 
Intelligensia gani sasa hapo
Au mnataka kutengewa fungu

Police nao posho haitoshi kila siku wanabuni njia za kupewa chochote kitu hovyo kabisa

Kwahiyo tayari mnajua ni hukumu gani itatolewa na mna uhakika haitawapendeza watu sio?
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limeonya dhidi ya Makundi ya Watu wanaodaiwa kuhamasishana kufanya vurugu, fujo na vitendo vya kihalifu ifikapo Novemba 6, 2026 siku ya hukumu ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, SACP Jummane Muliro amesema wamepokea taarifa za kuwepo kwa baadhi ya Watu ndani na nje ya Dar es salaam wanaohamasishana kusafiri kwenda Jijini humo siku hiyo, huku baadhi yao wakidaiwa kuwa na nia ya kufanya fujo na vurugu.

Jeshi hilo limeeleza kuwa linatambua haki ya Wananchi kufika Mahakamani, likisisitiza kuwa maeneo ya Mahakama yanajulikana na yana uwezo wa kuhudumia Watu wanaohitaji kufika kwa ajili ya shughuli za kisheria.

Hata hivyo, Polisi limeonya kuwa halitavumilia Makundi au Watu watakaobainika kupanga au kuhamasisha vurugu, hujuma na vitendo vingine vya kihalifu kwa kutumia siku hiyo kama fursa.
Huyo gaidi anayejiita kamanda anangoja nini kustaafu kupisha vijana wenye akili timamu?
 
Nimetoka Dar naenda dodoma maeneo mengi ya Dar es Salaam kuna askari wamesimama tena kwenye jua kali saana. Muliro anza kuwaonea huruma maaskari, askari wako wanateseka kwa hili jua.
Mkuu acha wateseke tu maana si wamegeuka kuwa mbwa Koko?
 
Ukimsikiliza vizuri Murillo kwa sikio la udadisi, sauti yake ni kama inasema hukumu ya Lissu haitakuwa na matokeo mazuri kwa Lissu na wafuasi wake...

Kwa sababu hakuna mahali popote ambapo watu wamehamasishana kutaka kuandamana, kuleta fujo au vurugu yeyote zaidi ya kuambiana wajitokeze kumpa moyo Lissu asijione yupo mwenyewe kwenye siku yake muhimu, hata nduguze wamesogeza mazishi ya kakaye...

Kuna uwezekano watu wakawa wanaandaliwa kisaikolojia hapa...
 
Back
Top Bottom