Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Hapo anasubiri kusifiwa na kupenyezewa "pekeji" yake kwa umahiri wa kuumiza watu.Jitu zee halafu akili zake ametunza makwapani.Hii nguvu ingetumika Kupambana na
Umasikini
Ujinga
Maradhi
Rushwa
Mafisadi nk
Nchi inhekuwa Mbali mno.
RIP TANGANYIKA, KWAHERI MWALIMU.
😂😂😂😂Ila jamaa una kiherehere kama kinembe cha mbwa.
Hili nalo takataka mavi. Why anafikiria fujo na si furaha?View attachment 3703916
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewaonya watu wanaopanga kufanya vurugu siku ya hukumu ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu itakayotolewa Novemba 6, 2026 katika Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Novemba 3, 2026, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema wanazo taarifa za watu "Wanahamasishana kuja Dar es Salaam baadhi yao wakiwa na malengo ya kufanya fujo au vurugu."
Amesema jeshi hilo halitasita kuwashughulikia watu hao, huku akieleza kuwa mipaka na idadi ya watu wanaotakiwa kuingia mahakamani inafahamika hivyo.
Hili ni swali fikirishi sana mkuu?Huli nalo takataka mavi. Why anafikiria fujo na si furaha?
Aliyewaambia wasisome nani?Nimetoka Dar naenda dodoma maeneo mengi ya Dar es Salaam kuna askari wamesimama tena kwenye jua kali saana. Muliro anza kuwaonea huruma maaskari, askari wako wanateseka kwa hili jua.
All in all it sends a clear message kuwa Lisu ana "Commanding Heights" katika Tanzania politics. WanamuogopaHili ni swali fikirishi sana mkuu?
1 .Kwamba CCM watafanya fujo baadaa ya Lissu kuachiwa?
2. CHADEMA watafanya Fujo baada ya Lissu kuhukumiwa?
Inteligensia ya polisi haiwataji mapema.
Dahhhh
Inasikitisha sana.
Intelijensia ambayo haijui hata Nchimbi alipo, mtu aliyekuwa VP.Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limeonya dhidi ya Makundi ya Watu wanaodaiwa kuhamasishana kufanya vurugu, fujo na vitendo vya kihalifu ifikapo Novemba 6, 2026 siku ya hukumu ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, SACP Jummane Muliro amesema wamepokea taarifa za kuwepo kwa baadhi ya Watu ndani na nje ya Dar es salaam wanaohamasishana kusafiri kwenda Jijini humo siku hiyo, huku baadhi yao wakidaiwa kuwa na nia ya kufanya fujo na vurugu.
Jeshi hilo limeeleza kuwa linatambua haki ya Wananchi kufika Mahakamani, likisisitiza kuwa maeneo ya Mahakama yanajulikana na yana uwezo wa kuhudumia Watu wanaohitaji kufika kwa ajili ya shughuli za kisheria.
Hata hivyo, Polisi limeonya kuwa halitavumilia Makundi au Watu watakaobainika kupanga au kuhamasisha vurugu, hujuma na vitendo vingine vya kihalifu kwa kutumia siku hiyo kama fursa.
Mwanzoni nilijuaga Ni IGP anakiherehere Sana Yule makendeHuyu murilo anajifaonya kimbelembele kama tanzania ya baba yake
Jamani pepa ishavujishwa na MuliroJeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limeonya dhidi ya Makundi ya Watu wanaodaiwa kuhamasishana kufanya vurugu, fujo na vitendo vya kihalifu ifikapo Novemba 6, 2026 siku ya hukumu ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, SACP Jummane Muliro amesema wamepokea taarifa za kuwepo kwa baadhi ya Watu ndani na nje ya Dar es salaam wanaohamasishana kusafiri kwenda Jijini humo siku hiyo, huku baadhi yao wakidaiwa kuwa na nia ya kufanya fujo na vurugu.
Jeshi hilo limeeleza kuwa linatambua haki ya Wananchi kufika Mahakamani, likisisitiza kuwa maeneo ya Mahakama yanajulikana na yana uwezo wa kuhudumia Watu wanaohitaji kufika kwa ajili ya shughuli za kisheria.
Hata hivyo, Polisi limeonya kuwa halitavumilia Makundi au Watu watakaobainika kupanga au kuhamasisha vurugu, hujuma na vitendo vingine vya kihalifu kwa kutumia siku hiyo kama fursa.
tena kilicho zidi yaani anataka aonekane kama yeye ndo mtendaji kazi mwema mbona huwa hasemi watu wakitekwa shamba kweli hili zeetaMwanzoni nilijuaga Ni IGP anakiherehere Sana Yule makende
Huyo gaidi anayejiita kamanda anangoja nini kustaafu kupisha vijana wenye akili timamu?Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limeonya dhidi ya Makundi ya Watu wanaodaiwa kuhamasishana kufanya vurugu, fujo na vitendo vya kihalifu ifikapo Novemba 6, 2026 siku ya hukumu ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, SACP Jummane Muliro amesema wamepokea taarifa za kuwepo kwa baadhi ya Watu ndani na nje ya Dar es salaam wanaohamasishana kusafiri kwenda Jijini humo siku hiyo, huku baadhi yao wakidaiwa kuwa na nia ya kufanya fujo na vurugu.
Jeshi hilo limeeleza kuwa linatambua haki ya Wananchi kufika Mahakamani, likisisitiza kuwa maeneo ya Mahakama yanajulikana na yana uwezo wa kuhudumia Watu wanaohitaji kufika kwa ajili ya shughuli za kisheria.
Hata hivyo, Polisi limeonya kuwa halitavumilia Makundi au Watu watakaobainika kupanga au kuhamasisha vurugu, hujuma na vitendo vingine vya kihalifu kwa kutumia siku hiyo kama fursa.
Mkuu acha wateseke tu maana si wamegeuka kuwa mbwa Koko?Nimetoka Dar naenda dodoma maeneo mengi ya Dar es Salaam kuna askari wamesimama tena kwenye jua kali saana. Muliro anza kuwaonea huruma maaskari, askari wako wanateseka kwa hili jua.
Wadudu wale sio watu wa fujo hao mbwa mwitu wa gongo la mboto na Panya road wa kigogo moto wakuotea mbaliWanangu wa panyaroad, wanangu 45, wanangu 32, wale wadudu wa A Town, wale mbwa mwitu, wanangu wa 26... Mpo tayari?!