Multiverse/parralel universe au wazo la many world interprentation wenye quantum mechanics je ni wazo tu kisanyasi au lina uhalisia ndani yake

Multiverse/parralel universe au wazo la many world interprentation wenye quantum mechanics je ni wazo tu kisanyasi au lina uhalisia ndani yake

dosho12 is the universe infinity? Unafahamu kuna planetary systems ngapi kwenye galaxy yetu ya maziwa? Na je unafahamu kuna galaxy ngapi kwa universe.
Kuna karibu nyota million kwenye galaxy yetu na nyota zote zina angalau sayari moja na kuendelea
 
is the universe infinity?
Kisayansi ushahidi mkubwa unaonyesha ulimwengu unaweza kuwa infinity ila kidini sidhani lau kama tuseme God ndiye ulimwengu basi unaweza kuwa infinity
 
Kisayansi ushahidi mkubwa unaonyesha ulimwengu unaweza kuwa infinity ila kidini sidhani lau kama tuseme God ndiye ulimwengu basi unaweza kuwa infinity
Kama ulimwengu ni infinity maanake haujawi kuwa na mwanzo, na kama una mwanzo basi huenda kuna universe nyingine
 
The universe is infinite and it is expanding at a speed faster than the speed of light.
 
Back
Top Bottom