Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mi niliacha nikaoa mwingine. Nakuelewa sana mkuu. Mwanaume unapaswa kuwa tayari kuachans na mkeo muda wowote ikibidi
 
Huyu jamaa huyo ni mke wa pili kumuua,na wala hajajiua yupo hai bali katoroka kwa kutumua mtumbwi,nahisi atakuwa kaishafika kenya
 
Inasemwa Mondi alikuwa anakula hiyo kaziView attachment 2243587
Ukiañgalia hii picha..unaweza ukatoa ubashiri wa jinsi mahusiano yao yalivyokuwa..mwanaume kuna uwezekano amehustle sana kufika hapo alipo..labda anatokea from humble beginnings..story ya mtoto wa manzese kumiliki pisi kali ya mbezi beach..au kama mondi alivyommiliki wema..tension zinakuwa za voltage kubwa..mademu wa kali kama hao sie watoto wa uswazi ni wa kupiga na kusepa..USIOE..
 
Wanawake aina hii bado wanataka waendele,kuishi kama walivyozoea
Kutoka,kwenda club nk
Labda dem kama huyu ni kumzalisha
Mfululizo tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…