mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Kuna jamaa yangu alishawahi kaa na mke aina hiii alikuwa anamsumbua sana jamaa maana jamaa kutwa kumez panadolHahaha
Kuna siku mke akamwambia mme wake anataka kwenda fiesta,jamaa kmkataaza mke akaenda na wenzake
Kibishi....
Jamaa akaniambia nkamwqmbia kama umemkataza kapuzia we achana naye,faster nkaenda kwake na fundi kubadili komeo na vitasa vya mlango kuingiliaa
Ile ndy ilikuwa one way ticket yake
Alirudi kesho yKe asubuhi kila akifungua olaaaaa
Ikawa imetokaaa
Ova