Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Wakuu Story Ni Kwamba Huyu jamaa kwenye picha amemua huyo mkewe usiku wa kuamkia leo huko Mwanza baada ya kumkataza mkewe asiende kwenye show ya Mondi.

Baada ya Kumwambia Asiende Kwenye hyo Show ya Nasib Abdul Mke akakaidi akaenda.

Jamaa amempiga risasi saba za kichwa na inasemekana na yeye kajiua japo maiti yake haijaonekana. Ila na Nyie Wanawake Mpunguze Visirani.

Inaonyesha jinsi Huyu Marehemu Alikuwa mkaidi na hamsikilizi Mme Wake.

Mme Kakuambia sitaki Uende Pahala Fulani then ww unakaidi ni Nini Kama Sio Dharau na Kiburi?

By the way anything else Happen for a reason.

RIP Binti MzuriView attachment 2243573View attachment 2243574

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mapenzi yanauwa
 
Hakuna sababu yeyote ile inayo halalisha mauaji let alone hizo petty reasons.

Mtu aende kwenye show ndo sababu ya kumuua au kisa hakusikilizi ndo umuue?

Mke sio mtumwa wako akose uhuru wake na kuacha Kila kitu anachopenda na kufanya unayotaka wewe tu sio kifungo hicho.

Hii victim blaming inabidi iishe na watu wajue ndoa sio utumwa. Mkishindwana mnaachana it's that simple sio kutoa uhai wa mtu. Imagine dada au Binti yako anauwawa kwa hivi visababu uchwara. Hakuna sababu yeyote ile inayo guarantee kutoa uhai wa mtu.
Nawe ndo walewale tu.
 
Yani hii inaonekana ilikuwa series ya matukio jamaa anayadidimiza moyoni tu then one day moyo ukalipuka akapiga mtu risasi.

Wanawake wengine wanajiona sana. Kama huyo nikimcheki tu fasta fasta ana ego issues na mwana ndio alikuwa ananyenyekea hapo. Hakujua jinsi ya kudeal nae vizuri akajikuta mvumilivu na matokeo ndio haya.

Kwa wanaume kama unaona unaendelea kuchase wakati mtu ni wako tayari, kimbia fasta mwanamke atakufanya ufanye tukio usilotegemea.
 
Tunakoseaga sana. Unaacha kuoa mke..unaoa mwanamke.
Mwanamke ni yeyote mwenye uke na anaweza kukosa sifa ya kuwa mke.
Ukioa malaya yeye anaringia uke..tako na sura..haoni shida kuvunja ndoa kwa hamu ya siku zote.
Huyu amejitakia
Aina hii ni ya kupig kuachaa tu
Syo kuoa

Ova
 
Wakuu Story Ni Kwamba Huyu jamaa kwenye picha amemua huyo mkewe usiku wa kuamkia leo huko Mwanza baada ya kumkataza mkewe asiende kwenye show ya Mondi.

Baada ya Kumwambia Asiende Kwenye hyo Show ya Nasib Abdul Mke akakaidi akaenda.

Jamaa amempiga risasi saba za kichwa na inasemekana na yeye kajiua japo maiti yake haijaonekana. Ila na Nyie Wanawake Mpunguze Visirani.

Inaonyesha jinsi Huyu Marehemu Alikuwa mkaidi na hamsikilizi Mme Wake.

Mme Kakuambia sitaki Uende Pahala Fulani then ww unakaidi ni Nini Kama Sio Dharau na Kiburi?

By the way anything else Happen for a reason.

RIP Binti MzuriView attachment 2243573View attachment 2243574
Hivi wasukuma na kujichumbua mtaacha lini???
 
Back
Top Bottom