Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mmmmmh bado anakuachia chakula na unakula dah pole sana
 
Kwenye hayo mahojiano ya Millard Ayo na mama wa marehemu inaonyesha binti aka marehemu aliondoka nyumbani toka alhamisi kwenda Shinyanga kumfanyia mtu make-up...tatizo likawa kurudi sasa mara leo mara kesho.....

Inaonekana shida kubwa ni wivu wa mapenzi hapo.....kuna mmoja alimpenda mwenzie kupita kiasi kama malaika...hapo ndio shida ilipoanzia..
 
Ukisikiliza maelezo ya mama mkwe inaonyesha Binti hakuwa tayari kuolewa bali jamaa labda sababu ya uzuri wa binti akaforce ndoa na influence ya pesa ikamvutia mwanadada...

tayari hapo utaona ilikuwa ndoa ya bahati mbaya sio watu wawili waliolidhiana....mmoja alipenda kuoa pambo kwa ajili ya show off, mwingine alipenda kuolewa kwa sababu ya pesa...
 
Kamanda kafa kishujaa maiti yake hawawezi iona


Haijalishi nimekuoa na tabia gani mume ni Final say full stop tukisema kitu hatutaki hatutaki kweli

Au mnaanza.kuyapinga maandiko hamjaumbwa kututii
 
Wanawake Wengi ambao ni Watu wa show off hawana heshima kwa wanaume Wao Kabisa, Wao wanajali Bata Tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Upo sahihi mkuu, kuna demu ni pisi kali nilitaka kuoa, ila inapenda show off sana

Yaani kitu hata kama kipo nje ya uwezo wake anataka kulazimisha kukifanya ili tu aonekane yupo juu kiuchumi

Nikamuona kichomi nikaachana nae maana sa hv najisikia kuwa na amani kuliko nilipokuwa nae

Jana kanichatisha baadae akataka nimpigie simu nikamkaushia
 
Haya mambo ni rahisi kuyachambua kama Mwl Kashasha na kujifanya mwanafalsafa kama hayakukuta.......lakini siku yakikukuta hata kama hujafanya maamuzi mabaya lakini utajua kuwa kwanini watu wanafanya maamuzi magumu.......

Ni hali ambayo simuombei hata adui yangu imkute achilia mbali rafiki yangu.......

Mungu atuzidishie mioyo ya SUBIRA na Uvumilivu katika nyakati hizi zilizojaa maudhi,kero na karaha hasa kutoka kwa wale tuliotazamia watupe furaha....
 
Huyo mfanyie demotion haraka..kashafeli kweny probation
 
Damu ya mwezi?
 
Unatoa million 4 kununua glock,una ka ist,umepanga,unasubiri mshahara mwisho wa mwezi.Iyo 4M si uinvest hata kwenye duka la vyombo au mtumba
Point Taken,heavy point
 
Mie naishi na falsafa demu akitaka kuliwa ataliwa tu hata umfungie so wife huwa namwachia aende anapotaka mradi aage tu... Akienda bila kuaga ndio panachimbika...

Huwez mkataza mtu aliyekua na maisha na hobbies zake kabla hamjakutana asi enjoy siku moja moja unakua dikteta sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…