Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Aise yaani umegonga mule mule. Hawa wannawake wwtu hawana cha usuper woman wala nini. Ni njaa tuu zinawasumbua hawa...hawana tofauti na wanasiasa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sahvi kuna hali ya ushamba kwa wanawake,hawataki kupitwa na ya dunia
Wasipoonekana kwenye mashuguli
Basi wanajiona wao siyo

Hat hivyo jamaa alichukua uamuz mgumu wa kumua na yeye kujipoteza

Ova
 
Na wewe unaonekana una kiburi tutakupiga risasi
Siyo kiburi lazima ujitambue na utambue kile unachokitaka.... haiwezekani umchukue binti wa watu anapenda kwenda CLUBS, kuhudhuria shows za music na mfano wake....

Unafika ndani unaanza kumwekea mipaka.... Utakuwa una shida KICHWANI...

Ukitaka vinginevyo kachukue kanisani au msikitini....
 
Mnaishi Kwa mashindano Sana. Punguzeni kuishi Kwa mashindano. Mwanamke Lazima awe under roof ya Mwanaume wake. Huu uhuru Wa kifala mnaoutaka ndio maana mnapigwa shaba.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kampiga saba tu, mshenzi kweli, alitakiwa amuongezee magazine nyingine, yaani nakuambia usiende kwenye show wewe unakaidi waziwazi?!
 
Kuna mwanangu mmoja aliambiwa na mke wake akirudi jioni amletee Pad maana Simba walikuwa Wanacheza.
.
Mwamba kazunguka Town Kwenye mishe kasahau kurudi Home, waifu anamuuliza vipi Mzigo Wangu, Jamaa akamwambia samahani Mkewangu nimesahau ngoja nioge nikakununulie.
.
Yule mwanamke akamjibu Jamaa Wanaume Wenzako Wataleta maana ww umeshindwa
.
Demu alipigwa kichwa kimoja akaanguka Kwenye tiles Wala hakuomba hata Maji ya Kunywa.
.
Kauli za Wanawake Malaya Ni mbaya Sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hili swala la kusema naye alijipiga risasi ila mwili haujaonekana linaacha maswali mengi mengi sana
Ni nani alishuhudia/alithibitisha jamaa kujipiga risasi?
Kwanini mwili/maiti yake isionekane?
Alijipiga wapi? Location
Je alijipiga risasi mara tu baada ya kumuua mkewe ama alichukua muda?
Je ni nani kathibitisha kuwa jamaa alijipiga risasi na kufa kabisa?
Je kama hakujipiga na kukimbia?
 
Bila shaka ananyea debe jamaa yako au nayeye alijiua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…