Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Picha yao wakiwa pamoja inaonyesha tu ni couple iliyokua inapitia mengi, nyuso zimeficha mengi, hizi ndoa hizi zina mengi
 
Ni kweli kabisa inaonesha alikua na dharau na mkaidi amsikilizi mume wake anatoka nawakati mume kamzuia.
 
Duu huyu alioa majanga kabisa. Yaani ni Ile kila me anageuza kichwa na hiyo sio nzuri. Aliahidiana na mtu nadhani wakajirushe. Mdada alitaka kubadilisha ladha

Ni kweli kabisa inaonesha alikua na dharau na mkaidi amsikilizi mume wake anatoka nawakati mume kamzuia.
Anatongozwa na wengi ndio Mana anapata kiburi
 
Jamaa ana uchu balaa sio kwa wivu huo, hivi unapatwaje na hasira wa wivu mpaka unamtoa mtu uhai si unamuacha mtu tu kwa amani, pisi zipo nyingii
Mkuu jamaa kamzuia Asiende yeye kaenda, na ukute kaenda wakati anarudi labda karudi kalewa au Kuligwa Juu. Huwezi jua alichomjibu Jamaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Pisi sio kali kiivo ni weupe tu.

Enewei hata mimi siwezi mruhusu wife aende kwenye show za kipuuzi puuzi kama hiyo. Mwisho abakwe na vibaka bure.

RIP we mwanamke.

Na huo mwili haujapatikana sasa wamejuaje kua kajiua au how comez wahisi kajiua na mwili hawajauona?? Au ni kupoteza maboya tu jamaa ana pesa keshayeya!!
 
Kabisa!

Nilifanya maamuzi magumu mapema sana ,na kama nisingefanya hivyo huenda tungebadilishana majengo ya serikali
 
Mkuu jamaa kamzuia Asiende yeye kaenda, na ukute kaenda wakati anarudi labda karudi kalewa au Kuligwa Juu. Huwezi jua alichomjibu Jamaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwanini wasingeenda wote mwanaume tumeshaambiwa tuishi nao wanawake kwa akili na sio mabavu, kwanini hakumshauri bibie waende wote shida ipo wapi kuna watu ni hasara sana kwa taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…