Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Kabisa!

Nilifanya maamuzi magumu mapema sana ,na kama nisingefanya hivyo huenda tungebadilishana majengo ya serikali
Juzi nimechelewa Kurudi, waifu ananambia Ww endelea Ipo Siku Nitakupa sumu Ili Hao wanawake WaKo wakome. Niko kwenye process ya kumtema Ingawa aliomba msamaha Asubuhi.
.
Huyu Mwanamke ninaishi nae under presumption of Marriage

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Pisi sio kali kiivo ni weupe tu.

Enewei hata mimi siwezi mruhusu wife aende kwenye show za kipuuzi puuzi kama hiyo. Mwisho abakwe na vibaka bure.

RIP we mwanamke.

Na huo mwili haujapatikana sasa wamejuaje kua kajiua au how comez wahisi kajiua na mwili hawajauona?? Au ni kupoteza maboya tu jamaa ana pesa keshayeya!!
Uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu
 
Kwanini wasingeenda wote mwanaume tumeshaambiwa tuishi nao wanawake kwa akili na sio mabavu, kwanini hakumshauri bibie waende wote shida ipo wapi kuna watu ni hasara sana kwa taifa
Yaani niende Sehemu Ambayo sjisikii kisa Kumridhisha Mtu. Huyo Mwanamke Ukute alienda na Mashoga zake

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Pisi sio kali kiivo ni weupe tu.

Enewei hata mimi siwezi mruhusu wife aende kwenye show za kipuuzi puuzi kama hiyo. Mwisho abakwe na vibaka bure.

RIP we mwanamke.

Na huo mwili haujapatikana sasa wamejuaje kua kajiua au how comez wahisi kajiua na mwili hawajauona?? Au ni kupoteza maboya tu jamaa ana pesa keshayeya!!
Soma # 29. Acha uvivu wa kula chips [emoji38][emoji38]
 
Huenda hata alikuwa amepiga gambe, tusubiri wana watupe taarifa kamili
Kuna maisha Watanzania tunaanza kuishi kama Wamarekani sasa, maana kule wenzetu kuwa na mtutu na kutishia kuua ni kitu cha kawaida yaani ile "I will shoot you mother****" ahhh yani tayari kashaminina kashakuondoa uhai... sasa wa Tanzania tunaenda huko
 
Unajuaje Kama alikataa ,,akataka aende peke yake....???
Sidhani kama alikosa means ya kuitafuta ya kiamani kabisa, shida kuna watu mnapenda mifumo dume sana sio kila jambo utakua mkali, jaribu pia kumpa nafasi mwenzako vitu anavyopenda mnataka mfanane kila kitu kama hupendi mziki yeye anapenda mpe nafasi unaweza mpeleka wewe ukaenda sehemu tulivu ukimsubiria atoke simple
 
Juzi nimechelewa Kurudi, waifu ananambia Ww endelea Ipo Siku Nitakupa sumu Ili Hao wanawake WaKo wakome. Niko kwenye process ya kumtema Ingawa aliomba msamaha Asubuhi.
.
Huyu Mwanamke ninaishi nae under presumption of Marriage

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Muda wwte anakulambisha mchanga!!
andika kabisa wosia
 
Jamani tuangalie na wanawake wa kuoa mwanamke mwenyewe anaonekana ni shangingi la mjini alfu mtu unaenda kuoa dah hatar hii sema nae uyu mwamba anaonekana ni ngosha mana wanapenda sana wanawake weupe pasipo kuangalia tabia
 
Wanawake Wengi ambao ni Watu wa show off hawana heshima kwa wanaume Wao Kabisa, Wao wanajali Bata Tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mbaya zaidi usiombe uwe na mdada mrembo na mwenye kazi yake, mkizinguana tu majibu yake kama una roho ndogo unaweza kumnyonga.

Utasikia sikiliza "Wewe mwanaume, usifikiri eti ukiniacha mimi siwezi kuishi bila wewe, kwanza kuna wanaume kibao tu wenye hela wananitaka lakini nimeamua kukuvumilia.." Utadhani kwako yupo kwa hisani ya watu wa Marekani.
 
Sidhani kama alikosa means ya kuitafuta ya kiamani shida kuna watu mnapenda mifumo dume sana sio kila jambo utakua mkali, jaribu pia kumpa nafasi mwenzako vitu anavyopenda mnataka mfanane kila kitu kama upende mziki yeye anapenda mpe nafasi unaweza mpeleka wewe ukaenda sehemu tulivu ukimsubiria atoke simple
Labda nikukumbushe mfumo dume ni asili mfumo ke ni wa bandia
 
Back
Top Bottom