Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Yaani niende Sehemu Ambayo sjisikii kisa Kumridhisha Mtu. Huyo Mwanamke Ukute alienda na Mashoga zake

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wote tunahukumu tu pasipo kujuwa ilikuaje, ila mimi nachoamanini a man anazaliwa na character ya kuwa kiongozi yani hiyo ipo tu hata kama hutaki kuwa kiongozi, sasa ni ajabu sana kiongozi wa familia unatumia jaziba na kuruhusu hisia zikutawale na kumtoa mtu uhai
 
Wakuu Story Ni Kwamba Huyu jamaa kwenye picha amemua huyo mkewe usiku wa kuamkia leo huko Mwanza baada ya kumkataza mkewe asiende kwenye show ya Mondi.
.
Baada ya Kumwambia Asiende Kwenye hyo Show ya Nasib Abdul Mke akakaidi akaenda.
.
Jamaa amempiga risasi saba za kichwa na inasemekana na yeye kajiua japo maiti yake haijaonekana.
.
Ila na Nyie Wanawake Mpunguze Visirani.
.
Inaonyesha jinsi Huyu Marehemu Alikuwa mkaidi na hamsikilizi Mme Wake.
.
Mme Kakuambia sitaki Uende Pahala Fulani then ww unakaidi ni Nini Kama Sio Dharau na Kiburi?
.
By the way anything else Happen for a reason.
.
RIP Binti MzuriView attachment 2243573View attachment 2243574

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
JAMAA ALIPATWA NA HISIA TATA HADI AKASHINDWA KUJIZUIA.R I P
 
Dah huyu mwamba angesoma huu uzi hapa chini pengine asinge chukua uamuzi huo. Maudhi ya mwanamke ni natural. Do not take it personal. Mwanamke akiwa mzuri zaidi anakuwa na maudhi zaidi.

 
Juzi nimechelewa Kurudi, waifu ananambia Ww endelea Ipo Siku Nitakupa sumu Ili Hao wanawake WaKo wakome. Niko kwenye process ya kumtema Ingawa aliomba msamaha Asubuhi.
.
Huyu Mwanamke ninaishi nae under presumption of Marriage

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kaka, mipango ishatimia, inasubiriwa execution stage, approver ni mchepuko wake; akimpagawisha na kumpa uhakika wa maisha, yu a gone brother.

Kama una lala nyumba, hakikisha vyumba tofauti, milango imara, lock inayoaminika, dirisha lisiwe la wavu. Kwa kuanzia tu! Maji, mafuta ya moto, klorofomu, damu ya mwezi n.k

Movie tu hiyo bro, usizingatie!
 
Sidhani kama alikosa means ya kuitafuta ya kiamani shida kuna watu mnapenda mifumo dume sana sio kila jambo utakua mkali, jaribu pia kumpa nafasi mwenzako vitu anavyopenda mnataka mfanane kila kitu kama hupendi mziki yeye anapenda mpe nafasi unaweza mpeleka wewe ukaenda sehemu tulivu ukimsubiria atoke simple
Sema wewe jamaa una ushauri wa kingese sana kuhusiana na mambo ya wanawake na mahusiano
 
Shetani kavuna mavuno yake. Njooni kwa Yesu muwe salama, nje ya Kristo ni hatari tupu. Huyo mondi mwenyewe ni devil worshipper!


YESU KRISTO ni BWANA na MWOKOZI
Unajua wangapi washapotea kwa Imani au kumpigania huyo, au Imani yoyote for that matter ?

Huenda kuamini till death do you apart au kwamba unaweza kumiliki binadamu kama bidhaa yako ndio kunapelekea mtu kupata hasira na kupoteza maisha ya mwenzake wakatikila mtu kuchukua hamsini zake kusingetupotezea Taifa nguvu kazi au kuwapa ndugu na jamii kazi ya kupoteza mtu wao na kuingia gharama na usumbufu wa hapa na pale...
 
Mmmmmhhhhhhh mjadala inaonekana wanaume mnavutia upande wenu....


Hakuna JUSTIFICATION WHATEVER ya kukufanya utoe uhai wa mwenzako...


Mrudishe ulikomtoa mtoto wa watu maana uliupende Uzuri wake hukuangalia TABIA wala majibu yake na ulikubaliana Naye wakati wa uchumba LEO kaingia kwenye NDOA UNALETA WIVU NA KUMWEKEA MIPAKA!!!!! Utakuwa na akili sawasawa????

Ukimkuta binti wa watu anapenda kwenda NIGHT CLUBS na ukamwoa katika mazingira hayo hayo BASI JUA UKIINGIA KWENYE NDOA NA UKATAKA ABADILIKE BASI NI MKATABA MWINGINE NA MNATAKIWA KUKAA MEZANI......


Yaani kuna watu wakati wanatafuta wachumba wanaongozwa na tamaa na hasa kile kitu katikati ya mapaja yao, wakishaoa ndiyo wanaanza kuweka masharti......

Kwakweli kama atanusurika ANYONGWE HADI KUFA na kutuulia mdada mwenzetu...
 
Dah huyu mwamba angesoma huu uzi hapa chini pengine asinge chukua uamuzi huo. Maudhi ya mwanamke ni natural. Do not take it personal. Mwanamke akiwa mzuri zaidi anakuwa na maudhi zaidi.

Mkuu, wanawake wauza sura Mjini Wana mambo Mengi. Wanatongozwa Sana. Ukute Demu alkuwa msaliti Kwa Mshikaji au Mshikaji alikuwa msaliti so wakawa wanaishi Kwa Kutunishiana.
.
Haiwezekani Mwanaume Wako unaemheshimu akwambie usiende Sehemu Fulani then Ww ukafosi kWenda na Kurudi Mda unaoutaka.
.
Yawezekana Huyu Manzi alikta Tiketi ya Kwenda kwenye Show ya Diamond bila Kumwambia Mmewake

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sema wewe jamaa una ushauri wa kingese sana kuhusiana na mambo ya wanawake na mahusiano
Sijakushikia mtutu kuamini falsafa zangu na itikadi nazo amini katika namna ya kuishi na mwanamke, una tusi lininge maana hilo sio jipya ni la kawaida sana, jitasmini kile unachokiandika ndicho kina kudefine jinsi ndani ulivyo tunasema law of attraction
 
Huyu Dada hakuwa na Utii na Mme Wake, Hakuna watu ambao wanaumizwa na majibu ya Mwanamke kama Mwanaume.
.
Hatuwezi Jua baada ya Marehemu Kurudi Huko Alimjibu Nini Mwanaume Wake.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hakuna sababu yeyote ile inayo halalisha mauaji let alone hizo petty reasons.

Mtu aende kwenye show ndo sababu ya kumuua au kisa hakusikilizi ndo umuue?

Mke sio mtumwa wako akose uhuru wake na kuacha Kila kitu anachopenda na kufanya unayotaka wewe tu sio kifungo hicho.

Hii victim blaming inabidi iishe na watu wajue ndoa sio utumwa. Mkishindwana mnaachana it's that simple sio kutoa uhai wa mtu. Imagine dada au Binti yako anauwawa kwa hivi visababu uchwara. Hakuna sababu yeyote ile inayo guarantee kutoa uhai wa mtu.
 
Wewe ni mpu.mbavu

Hakuna sababu yeyote ile inayo halalisha mauaji let alone hizo petty reasons.

Mtu aende kwenye show ndo sababu ya kumuua au kisa hakusikilizi ndo umuue?

Mke sio mtumwa wako akose uhuru wake na Kila kitu anachopenda na kufanya unayotaka wewe tu sio kifungo hicho.

Hii victim blaming inabidi iishe na watu wajue ndoa sio utumwa. Mkishindwana mnaachana it's that simple sio kutoa uhai wa mtu.
Mjuba Mbna una Hasira na Mm wakati mm Mleta Uzi Tu [emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom