Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Wengi huwa wanaona kabisa kuwa wanawake wao ni vichwa ngumu ila wanajipa moyo kuwa watawabadilisha wakiingia kwenye ndoa, hakuna mwanamke wa hivyo labda aamue kukufanyia maigizo.Kabisa!
Nilifanya maamuzi magumu mapema sana ,na kama nisingefanya hivyo huenda tungebadilishana majengo ya serikali
Unapoona redflags kwa mwanamke mteme mapema, hata kama inauma.