Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
160(1)LMA😂😂😂😂😂Juzi nimechelewa Kurudi, waifu ananambia Ww endelea Ipo Siku Nitakupa sumu Ili Hao wanawake WaKo wakome. Niko kwenye process ya kumtema Ingawa aliomba msamaha Asubuhi.
.
Huyu Mwanamke ninaishi nae under presumption of Marriage
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kiburi utafikiri kajilipia mahari, dawa ni hiyo.Wakuu Story Ni Kwamba Huyu jamaa kwenye picha amemua huyo mkewe usiku wa kuamkia leo huko Mwanza baada ya kumkataza mkewe asiende kwenye show ya Mondi.
.
Baada ya Kumwambia Asiende Kwenye hyo Show ya Nasib Abdul Mke akakaidi akaenda.
.
Jamaa amempiga risasi saba za kichwa na inasemekana na yeye kajiua japo maiti yake haijaonekana.
.
Ila na Nyie Wanawake Mpunguze Visirani.
.
Inaonyesha jinsi Huyu Marehemu Alikuwa mkaidi na hamsikilizi Mme Wake.
.
Mme Kakuambia sitaki Uende Pahala Fulani then ww unakaidi ni Nini Kama Sio Dharau na Kiburi?
.
By the way anything else Happen for a reason.
.
RIP Binti MzuriView attachment 2243573View attachment 2243574
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kiburi chake ndio Tiketi YakeKiburi utafikiri kajilipia mahari, dawa ni hiyo.
Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
hahahaha.haina majina ya wahusika.hakuna eneo la tukioHii habari ni kama skeleton isiyo na nyama. Kuna vitu haviconnect kabisa. Ila kama kawaida yetu tunatiririka nayo tu
Ndiyo maana wanasema kabla ya kuoana ni vizuri sana ukajua starehe ya mwenzio (anavyo penda na asivyo penda) Ili ukiona hamuendani,unasonga mbeleWakuu Story Ni Kwamba Huyu jamaa kwenye picha amemua huyo mkewe usiku wa kuamkia leo huko Mwanza baada ya kumkataza mkewe asiende kwenye show ya Mondi.
.
Baada ya Kumwambia Asiende Kwenye hyo Show ya Nasib Abdul Mke akakaidi akaenda.
.
Jamaa amempiga risasi saba za kichwa na inasemekana na yeye kajiua japo maiti yake haijaonekana.
.
Ila na Nyie Wanawake Mpunguze Visirani.
.
Inaonyesha jinsi Huyu Marehemu Alikuwa mkaidi na hamsikilizi Mme Wake.
.
Mme Kakuambia sitaki Uende Pahala Fulani then ww unakaidi ni Nini Kama Sio Dharau na Kiburi?
.
By the way anything else Happen for a reason.
.
RIP Binti MzuriView attachment 2243573View attachment 2243574
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yawezekuwa ilikuwa hivyo au ni maarufu huyo mwingine.Inawezekana, jamaa wa nje anapesa ndefu
Tena inaonekana jamaa alipata pesa nying kipind fulan labda za madin au sato akaoa huyo dada slay queen.. na sabab dada alipendea pesa.. sasa mwana inaonekana uchumi ukashuka gafla ndo dharau zilipoaanza.. na inaonekana ni dharau za muda mref.. na inaonekaa wameshazaa watoto so jamaa alikua anateseka sana.. akaona liwalo na liwe this time lazima ajimalize na ammalizePicha yao wakiwa pamoja inaonyesha tu ni couple iliyokua inapitia mengi, nyuso zimeficha mengi, hizi ndoa hizi zina mengi
🤣🤣🤣🤣 Ah nyeto ya nini wakati ticket ya kuipelekea moto mbususu yako ulishanipa. Ni mie tuu kukwea pipa hapa kuja green cityUmeniandama Leo....lala usijenipigia nyeto bure
Suala la msingi Je, Hilo la kumkataza lilianza baada ya ndoa au kabla? Mpaka anafikia hatua ya kwenda kwenye show ya Mondi basi ujue ni kautaratibu hawezi tu kukurupuka....Kwamba mwanaume kumkataza mke wake asitoke nyumbani ni kikwazo?
Wanawake huwa wanaficha sana hayo mambo kabla hajaolewa.Ndiyo maana wanasema kabla ya kuoana ni vizuri sana ukajua starehe ya mwenzio (anavyo penda na asivyo penda) Ili ukiona hamuendani,unasonga mbele
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kumbe Kuna sura za show?Suala la msingi Je, Hilo la kumkataza lilianza baada ya ndoa au kabla? Mpaka anafikia hatua ya kwenda kwenye show ya Mondi basi ujue ni kautaratibu hawezi tu kukurupuka....
Kwa sura yenyewe ukiiangalia Utajua kabisa huyu na show ni mapacha mpaka na huyo mumewe.....