Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

N
Na demu ni kabila gani wakuu
 
Leo inabidi nikague kabati na nyumbani nijue hii 🔫 umeificha wapi maana inabidi tujihami 😬😬
 
Majuto yalimuandama akaona nae ajimalize, na hii ishu ya umiliki wa silaha naona vibali vinatolewa kifamba sana kuna watu hawastahili kupewa silaha, watu wana historia mbovu then unakuja mmilikisha silaha
Hasira aliyonayo mtu mpole ni mara mbili ya aliyonayo mtu wa kawaida Hawa watu wapole wa kuogopa Sana
 
😅😅 tuwe makini sana na tunapo watoa na ni vyema kabla hujaamua kumuweka ndani jua background yake.. Mie manzi ikizingua nitaipiga matukio hadi ikimbie inipishe kwangu
 
Leo inabidi nikague kabati na nyumbani nijue hii 🔫 umeificha wapi maana inabidi tujihami 😬😬
Aaah! wewe ulivyo siwezi nyoosha kwako hata kidole.. wala kukugusa kwa hasiraaa... 😎😎
 
Aaah! wewe ulivyo siwezi nyoosha kwako hata kidole.. wala kukugusa kwa hasiraaa... 😎😎
Kwani hata aliye uwa alijua kama siku moja atauwa hasira hasara hebu niambie baba kijacho una miliki 🔫au huna nijipange kukwepa siku ikitokea😁😁
 
Huwa naamini katika kuendana zaidi

Mtu akiwa na pesa na uwezo anamuoa mwanamke mzuriiiiii yule anaemtamani kwasababu tu pesa ina mruhusu kuoa au kumpata

Lakini anasahau hiki kigezo cha “kuendana”
Ye anapenda hiki mke hiki
ye hataki hiki mke hataki kile
ye anathamini hiki mke kile

Na hapa sizungumziii vitu vidogo vidogo!!Nazungumzia yale mambo ambayo mkitofautiana kunaleta shida kubwa!!…

mfano 😀emocracy ndani ya familia
Kuna wanaume wanapenda kusikilizwa tu na kuna wanawake wanapenda wao ndyo watoe maamuzi (watu wa ivi wakikutana IMBOMBO ingafu)

Mahali pa kuishi au kujenga makazi ya kudumu
Mwanaume anapenda kuishi kigoma mwanamke hataki kuishi nje ya dar ( hawa hawawez kaa pamoja hasa kama kila mtu ana msimamo wako!!…)

Mwanaume anataka low key lifestyle mwanamke anataka Attention kama wema sepetu hapo napo imbombo ingafu!!…

sikiliza interview ya mimimars na millard ayo ni nzuri sana !! kabla hujaingia na mtu kwene ndoa !!..
 
Kwani hata aliye uwa alijua kama siku moja atauwa hasira hasara hebu niambie baba kijacho una miliki 🔫au huna nijipange kukwepa siku ikitokea😁😁
hapana mama kijacho, siraha kwangu mwikoo .. i wish hata ndani hata kisu kisiwepo.. yaani tukikorofishana ni body to body tuuu hakuna kunyanyua mdomo wala kunyosheana vidole 😎😎
 
Baadhi ya comments za wadau kutoka sehemu mbalimbali View attachment 2244467
Mwamba kapuyanga kuua, sasa anaishi kama digi digi sijui wameisha mdaka .. wakati angetulia zake jana kama ana vihela angeenda pale The Cask au Malaika akichukua machine kalii atulie impoze poze sasa anaenda kupambana na kaka nyapara
 
...Hivi Ufoo Saro aliishis Wapi, Mkuu?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…