inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Nimemsikia lafudhi ya mamaake,Kama si mnyaturu ni mrangiAnatoka huko?
😄😄 hii ni habari njema sanaa soon nitaitwa Bibi jamani namsubir mjukuu huyoMtanga is killing me 😅😅😅 Mama kijacho wangu @Nuzulati😍😍😍 ameniweza na kungfu zangu zote kwisha habari yangu
😅😅😅 Eeh andaeni tu zawadi za kijacho😄😄 hii ni habari njema sanaa soon nitaitwa Bibi jamani namsubir mjukuu huyo
Yani msijali zawadi muhimu 😄😅😅😅 Eeh andaeni tu zawadi za kijacho
Alighahiri kujiua?
Mumeo amepata kitu Chema. Ubarikiwe mdada."Jina lake halijatajwa kwa sababu za kiusalama". Wana jf mnaelewa hii kauli?!!
ILA:
Wakati mwingine tujitahidi kuwaheshimu wanaume, ukiona anakupenda mpende pia.
Binafsi nimetemana nae sina hata mwezi nae ni style hii pamoja na kuwa tuna watoto...Kabisa!
Nilifanya maamuzi magumu mapema sana ,na kama nisingefanya hivyo huenda tungebadilishana majengo ya serikali
Huyo anaonekana ana heshima. Hebu angalia tofauti ya mchango wake na ya wadada wengine.Ndio mtuheshimu sasa sio mnalete ufyetere wa kijinga
Ujinga huo. Wote wamevuna walichopanda.Mama yake anajua kabisa mtoto wake kaolewa alafu anakuja kulala nyumbani kwa wazazi wake kisha anapigiwa simu na mumewe hapokei, inaonekana akiwa katika mishe za kuchepuka akimaliza tu anaenda kuzuga kwa wazazi wake ili apate utetezi
Pengine kweliItakua alijipiga alafu akakimbia mkuu,
Pengine kweliItakua alijipiga alafu akakimbia mkuu,
Mbongo mpe picha Tu. Stori ataiandika yote, mpaka nukta na alama za mishangao!Kama muhusika amefariki,na mwingine hajulikani nyie mmejuaje kuwa alimkataza??
Mhh! Isijekuwa fake body for fake death! Watu wa Ziwani wana mambo ya ajabuAnayedaiwa kumuua mkewe kwa risasi naye ajiua
Mwanza. Said Oswayo anayedaiwa kumuua kwa kumpiga risasi kadhaa mke wake Swalha Salum (28) naye amekutwa amejiua kwa kujipiga risasi.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Mairi Makori amethibitisha kujiua kwa mtuhumiwa huyo ambaye mwili wake umekutwa ndani ya maji ya Ziwa Victoria kwenye ufukwe wa Rock Beach jijini Mwanza.
"Mwili huo umeopolewa ziwani eneo la ufukwe wa Rock Beach ukiwa na majeraha ya risasi kichwani. Timejiridhisha kuwa ndiye mtuhumiwa baada ya kutambuliwa na ndugu zake," amesema Kaimu Kamanda huyo.
Amesema mwili huo ulikutwa unaelea ufukweni mwa Ziwa Victoria ufukwe wa Rock Beach ambapo Jeshi la Polisi lililazimika kuwatafuta ndugu kwa utambulisho na kuthibitisha kuwa mtuhumiwa aliyekuwa anasakwa kwa mauaji ya mke wake.
Taarifa za uhakika zilizopatikana zinaeleza kuwa askari polisi wanaopeleleza tukio hilo walipiga kambi eneo la ufukwe wa Malaika kutokana na mawimbi ya mwisho ya mawaskliano ya mtuhumiwa Oswayo kuonekana eneo hilo kwa mara ya mwisho usiku wa kuamkia jana Mei 29.
"Mawasiliano ya mwisho ya simu ya Oswayo yalifanyika usiku wa manane eneo la Malaika; ndio maana Askari Polisi waliweka kambi pale na kweli mwili wake umepatikana hapo hapo," amesema mmoja wa watoa taarifa wetu kwa sharti la kuhifadhiwa jina
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] owa bhanaHafu jitu linasema nioe, tena nioe pisi yenye degree.
Umeshaonja pepo yakhe. Kama huyo jamaa aliyeuwa inawezekana alikuwa kwenye tanuru kali la motohata mie sijielewi kama nipo kwenye kadunia kangu ka peke yangu yaani, mwanamke hujawai nikwanza , mwanamke hujawai nikasirisha sio mwepesi wa kujibu, daah! Mda wote umekuwa furaha yangu.. tanga acha paitwe tanga umenimaliza [emoji41][emoji41]
Asante studio....Kauli za wanawake wa Tanga unajikuta tu unashindwa kunyanyua mkono. Ukarimu wa mwanamke kwa mumewe huleta maelewano bila kutumia nguvu