Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshaonja pepo yakhe. Kama huyo jamaa aliyeuwa inawezekana alikuwa kwenye tanuru kali la moto
Uzaona eee wau [emoji23]Hutakaa usikie mkuu na ikitokea inabidi tuitishe kikao.
Unadhani kabla ya huyo mwamba huko nyuma Swalha hakuwa na wanaume ambao walim-dump mpaka huyo jamaa akampata, hao waliwezaje kumuacha Swalha?"Project" nzuri hivyo kama Marehenu Swalha alivyo unawezaje kuiacha kirahisi rahisi hivyo wanaume wengine waendelee nayo?
Damn! That woman was beautiful. The guy had all the rights to be jealous, who wouldn't?
ugomvi mwingine huu unnaenda kutokea
Maza kajibu kihuni tu na yeye paleNajaribu kuwaza hayo maneno yote ina maana binti alikuwa anamwadithia mama yake?,"eti akakata sim ili kuepusha ugomvi"[emoji706]huyo mwanamke amepata alichostahili kupata
au jamaa alijua ,anatafuniwa kitumbua chake na mzee baba!! Maana sio kwa bullets hizo (,7)!!?!!!Jamaa lilikuwa na bifu kali sana na Diamond maana sio kwa risasi hizo
Wisdom nini tena yeye nchi za watu watamvua pensi hilo 🤣🤣🤣🤣Duh asee kwa huu mdomo na matusi mbele ya hadhara lazima mtu ujae nyongo. Halafu mimi mwanamke kama huyu kwa akili na utashi wangu hapo ndio tunakuwa tumeachana siwezi kuishi na takataka kama hii.
We jamaa sikuoni siku hizi mitaa ya JF. Na yule nigger mwenzako Wyatt Mathewson ndio kabisa simuoni. BAK sijui kaenda wapi, Barafu huyo sijui kama tunae tena kama mwaka haonekaniI’m not throwing my life away because of a bitch who belongs to the streets!
I got way too much self-esteem, too much pride for myself, to be bothered by a female to the point of throwing my life away like that.
Kama unaona mtu hajatulia, sepa, uendelee na maisha.
Kama kinachosemwa kuhusu hao wawili ni cha kweli, basi huyo jamaa alikuwa na matatizo ya kisaikolojia na ya kihisia.
Si ajabu alikuwa ni mtu mwenye low self-esteem.
Maana sielewi alishindwa nini kumuacha huyo dada na kuendelea na maisha yake kivyake?
Unajiuaje kisa mwanamke?? Where dey do dat at??
Not me. Not ever. I’ll never ever do that for a woman.
kisu kama hicho,unakuta umekigalamia mpaka kinang'aa kiasi hicho ,halafu unatafuniwa kirahisi ,ubaya ukimhoji wife ,anakujibu defacate ,kwa dharau kubwa .....aise unajikuta umemkabidhi bullets kwenye ubongo bila kujua ......Ndio maana ni muhimu kuwa na nidhamu na siraha ,si vyema kila wakati iwe kiunoni .Kupata mwanamke anaekusikiliza na kukuheshimu kama baba yake ni baraka kubwa sana ambayo wengi wanaikosa katika kizazi hiki, Asante Mungu.
Muda mwingine sisi wanaume tunashindwa kusimamia uanaume wetu, hivi Mungu kakujalia Pesa na afya ya nini kung'ang'ania mwanamke anaekuumiza akili?? Najua mapenzi yanauma na pengine labda kuna watu wapo humu jf muda huu wanapitia fukuto la mahusiano, nawashauri mfanye maamzi ya kiume kabla hamjachelewa.
"Every woman in any given reletionship, is taken as the man's project".
Project imekushinda, achia wengine wahangaike nayo kwanini uumie?
Ujinga, uzuzu, uzumbukuku, na upumbavu mwingi uliotamalaki hapa siku hizi ndo unanipa uvivu wa kushiriki sana mijadala.We jamaa sikuoni siku hizi mitaa ya JF. Na yule nigger mwenzako Wyatt Mathewson ndio kabisa simuoni. BAK sijui kaenda wapi, Barafu huyo sijui kama tunae tena kama mwaka haonekani
Hapo mmeshajenga nyumba mmechanga pasu pasuDuh asee kwa huu mdomo na matusi mbele ya hadhara lazima mtu ujae nyongo. Halafu mimi mwanamke kama huyu kwa akili na utashi wangu hapo ndio tunakuwa tumeachana siwezi kuishi na takataka kama hii.
Umeongea kwa hisia kali sana kaka, nakuunga mkono.. Big up 👊Wapi umesoma kuhusu mme wa marehemu kufanya umalaya? Punguzeni umalaya mfurahie utamu wa ndoa, mkileta ujuaji adhabu yetu ni hiyo.
Na yakikushinda useme mapema upewe talaka saba, sio ung'ang'ania kuwa katika ndoa ilihali bado una vinasaba vya kihuni.
HESHIMUNI WAUME ZENU
Yani jamaa anatukanwa kifara na kuna watoto hapo. Ila mwanamke kama huyu asee mimi siku hiyo hiyo kama vipi napack begi langu nasepa. Abaki na kila kitu.Wisdom nini tena yeye nchi za watu watamvua pensi hilo 🤣🤣🤣🤣
ugomvi mwingine huu unnaenda kutokea
ugomvi mwingine huu unnaenda kutokea
Huyu jamaa ,Nampa pole,alitakiwa ampe big lesson,kuliko kumuua !!yaani unampa lesson heavy halafu unakuwa unamuangalia kwa mbaliiiii jinsi anavyo itumikia .