Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Umeshaonja pepo yakhe. Kama huyo jamaa aliyeuwa inawezekana alikuwa kwenye tanuru kali la moto

Jamaa kazingua, ingawa hatuwezi kumuona ni mmbaya kwa hilo tukio maana kila mtu ana background yake. Mungu awatie nguvu waliopotelewa na wapendwa wao bwana Swalla na Osway... Mie nakula pepo tu ya hapa duniani na mama yangu Nuzulati .. karibu nyumbani
 
I’m not throwing my life away because of a bitch who’s for the streets!

I got way too much self-esteem, too much pride for myself, to be bothered by a female to the point of throwing my life away like that.

Kama unaona mtu hajatulia, sepa, uendelee na maisha.

Kama kinachosemwa kuhusu hao wawili ni cha kweli, basi huyo jamaa alikuwa na matatizo ya kisaikolojia na ya kihisia.

Si ajabu alikuwa ni mtu mwenye low self-esteem.

Maana sielewi alishindwa nini kumuacha huyo dada na kuendelea na maisha yake kivyake?

Unajiuaje kisa mwanamke?? Where dey do dat at??

Not me. Not ever. I’ll never ever do that for a woman.
 
"Project" nzuri hivyo kama Marehenu Swalha alivyo unawezaje kuiacha kirahisi rahisi hivyo wanaume wengine waendelee nayo?
Damn! That woman was beautiful. The guy had all the rights to be jealous, who wouldn't?
Unadhani kabla ya huyo mwamba huko nyuma Swalha hakuwa na wanaume ambao walim-dump mpaka huyo jamaa akampata, hao waliwezaje kumuacha Swalha?

Kikubwa kwa mwanaume ni kuwa na high self-esteem, kwamba hata nikiachana na huyu nitapata mwingine mzuri. Hii Tanzania kuna wanawake ukiwoana Swalha hafati mkuu.

Ni kuthubutu tu.
 
Najaribu kuwaza hayo maneno yote ina maana binti alikuwa anamwadithia mama yake?,"eti akakata sim ili kuepusha ugomvi"[emoji706]huyo mwanamke amepata alichostahili kupata
Maza kajibu kihuni tu na yeye pale
Halafu wazazi waache kuendekeza pesa uhuni wa watoto wao wasiundekeze sbb ya pesa la sivyo mwisho ni majuto
 
Duh asee kwa huu mdomo na matusi mbele ya hadhara lazima mtu ujae nyongo. Halafu mimi mwanamke kama huyu kwa akili na utashi wangu hapo ndio tunakuwa tumeachana siwezi kuishi na takataka kama hii.
Wisdom nini tena yeye nchi za watu watamvua pensi hilo 🤣🤣🤣🤣
 
I’m not throwing my life away because of a bitch who belongs to the streets!

I got way too much self-esteem, too much pride for myself, to be bothered by a female to the point of throwing my life away like that.

Kama unaona mtu hajatulia, sepa, uendelee na maisha.

Kama kinachosemwa kuhusu hao wawili ni cha kweli, basi huyo jamaa alikuwa na matatizo ya kisaikolojia na ya kihisia.

Si ajabu alikuwa ni mtu mwenye low self-esteem.

Maana sielewi alishindwa nini kumuacha huyo dada na kuendelea na maisha yake kivyake?

Unajiuaje kisa mwanamke?? Where dey do dat at??

Not me. Not ever. I’ll never ever do that for a woman.
We jamaa sikuoni siku hizi mitaa ya JF. Na yule nigger mwenzako Wyatt Mathewson ndio kabisa simuoni. BAK sijui kaenda wapi, Barafu huyo sijui kama tunae tena kama mwaka haonekani
 
Kupata mwanamke anaekusikiliza na kukuheshimu kama baba yake ni baraka kubwa sana ambayo wengi wanaikosa katika kizazi hiki, Asante Mungu.

Muda mwingine sisi wanaume tunashindwa kusimamia uanaume wetu, hivi Mungu kakujalia Pesa na afya ya nini kung'ang'ania mwanamke anaekuumiza akili?? Najua mapenzi yanauma na pengine labda kuna watu wapo humu jf muda huu wanapitia fukuto la mahusiano, nawashauri mfanye maamzi ya kiume kabla hamjachelewa.

"Every woman in any given reletionship, is taken as the man's project".

Project imekushinda, achia wengine wahangaike nayo kwanini uumie?
kisu kama hicho,unakuta umekigalamia mpaka kinang'aa kiasi hicho ,halafu unatafuniwa kirahisi ,ubaya ukimhoji wife ,anakujibu defacate ,kwa dharau kubwa .....aise unajikuta umemkabidhi bullets kwenye ubongo bila kujua ......Ndio maana ni muhimu kuwa na nidhamu na siraha ,si vyema kila wakati iwe kiunoni .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah,mondi punguza Moto baba,kuna watu wanateseka mpk wanaua pisi Kali adimu
 
We jamaa sikuoni siku hizi mitaa ya JF. Na yule nigger mwenzako Wyatt Mathewson ndio kabisa simuoni. BAK sijui kaenda wapi, Barafu huyo sijui kama tunae tena kama mwaka haonekani
Ujinga, uzuzu, uzumbukuku, na upumbavu mwingi uliotamalaki hapa siku hizi ndo unanipa uvivu wa kushiriki sana mijadala.

Hivyo ni bora nitumie muda wangu mchache nilionao kwenye mambo yaliyo na tija kuliko kujibizana utumbo na watu wenye viwango vya chini vya kiakili.

I benefit nothing from arguing with fools.
 
Duh asee kwa huu mdomo na matusi mbele ya hadhara lazima mtu ujae nyongo. Halafu mimi mwanamke kama huyu kwa akili na utashi wangu hapo ndio tunakuwa tumeachana siwezi kuishi na takataka kama hii.
Hapo mmeshajenga nyumba mmechanga pasu pasu
 
Wapi umesoma kuhusu mme wa marehemu kufanya umalaya? Punguzeni umalaya mfurahie utamu wa ndoa, mkileta ujuaji adhabu yetu ni hiyo.

Na yakikushinda useme mapema upewe talaka saba, sio ung'ang'ania kuwa katika ndoa ilihali bado una vinasaba vya kihuni.

HESHIMUNI WAUME ZENU
Umeongea kwa hisia kali sana kaka, nakuunga mkono.. Big up 👊
 
Back
Top Bottom