Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Huu ndo upumbavu wa mwanaume asiyechepuka. Kuna umuhimu wa kila mwanaume kuwa na mchepuko angalau mmoja ili kuepuesha stress zisizoeleweka. Wanaume wenye akili na wanaojitambua lazima awe na mchepuko ili njii kuu inapoleta shida inakuwa rahisi kuachana nae kisha kumpandisha cheo mchepuko. Kwa wale walokole wanaoshindwa kujua wapate vipi mchepuko kuna njia rahisi sana. Tongoza the best friend wa mke/mpenzi wako... hao BFF ndo maadui wakuu wa uhusiano/ndoa ya mkeo hivyo ni rahisi sana kuwa mchepuko wako. Na siku wife akizingua unampa surprise ya kumpandisha cheo BFF wake.
 
Na jamaa lilikua na pesa ya kutosha eti.
 
Kajipa kazi ya kutoa uhai wa mwanadamu ambayo si yake, hukumu ya Mungu yamhusu! inaelekea kabisa alikuwa anatumia nguvu ya pesa wakati hakuwa anapendwa na inaelekea alikuwa anajua kuwa hapendwi. Pesa kamwe haiwezi nunua kila kitu.
Unaweza mlazimisha mtu kumuoa?? Huyo mwanamke alimpenda huyo jamaa, sema itakuwa marafiki na tamaa za hapa na pale kwa wanawake.
 
nime copy na kupaste comment ya jamaa @ fb anasema

"
Mtu yuko polini anatafuta pesa kwa tabu anarudi nyumban hakuti mke, mke kaenda kuangalia mpira usiku, saa 6 mke anarudishwa na gari mpk nyumbani na mtu asiyefahamika, mnataka mwamba afanyaje?
Wanawake msitujaribu plz...
Missed call 42 ni nyingi aisee! Hapo lazima uhisi kuna jamaa anahema juu ya mkeo. Hata km ni mm, Mwanamke nampigia simu mara 42 hapokei harafu mpaka sa6 ya usiku hajarudi nyumbani na huku nyumbani hajapika aisee namimina risasi zote chini kisha natupa magazine chooni halaf natangulia polisi maana nikibaki nyumbani nitaua tu.
Upumbaafu na dharau sipendi kabisa
🤔
"
 
Mwamba naye kajipiga risasi ya kidevu, kamfuata mkewe akhera...
 
Ujue elimu ya mahusiano nadhani jamii yetu inatukosa mkuu.
Wanafunzi wanauana vyuoni
Elimu ya mahusiano iliyopo imelalia upande mmoja wa feminine imperative. Jamii nzima inalelewa kwa ajili ya kutimiza mahitaji wa mwanamke. Vijana wanapoona wanatimiza kila kitu kama walivyoelekezwa na jamii na kisha matarajio yao ya penzi la kudumu na lisilo na masharti kutoka kwa wanawake husika kutotimizwa wanajiona wamekosewa pakubwa na hivyo kuchukua maamuzi magumu.

Ila ukishaelewa hypergamy na conditional love ya mwanamke huwezi pata tabu
 
Bullshit!

Huwezi kumwacha?

Ndo umuue na wewe ujiue?

Kuna mabilioni ya wanawake dunia hii. Uliyenaye akizingua, mwache uendelee na maisha.

Utapata mwingine.

Yaani nijiue kisa mwanamke, tena ambaye hajatulia?

Nah! Not worth my beautiful and precious life.
yes ni upuuzi sana kujiua au kumuua mwanamke kwa sababu ya wivu wa mapenzi. Halafu kitu kimoja ambacho wanaume wote duniani wanapaswa kupewa somo ni kwamba wanawake wote huwa wana maudhi by nature so mwanamke anapo kutamkia maneno ya dharau do not take it personal
 
Back
Top Bottom