Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Nyumba ni vitu vya kupita tu mzee. Itajengwa nyingine na pia sio lazima kujenga zipo nyumba zakupanga nitapanga. Amani ya moyo ndio kila kitu.Hapo mmeshajenga nyumba mmechanga pasu pasu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumba ni vitu vya kupita tu mzee. Itajengwa nyingine na pia sio lazima kujenga zipo nyumba zakupanga nitapanga. Amani ya moyo ndio kila kitu.Hapo mmeshajenga nyumba mmechanga pasu pasu
Na jamaa lilikua na pesa ya kutosha eti.Huu ndo upumbavu wa mwanaume asiyechepuka. Kuna umuhimu wa kila mwanaume kuwa na mchepuko angalau mmoja ili kuepuesha stress zisizoeleweka. Wanaume wenye akili na wanaojitambua lazima awe na mchepuko ili njii kuu inapoleta shida inakuwa rahisi kuachana nae kisha kumpandisha cheo mchepuko. Kwa wale walokole wanaoshindwa kujua wapate vipi mchepuko kuna njia rahisi sana. Tongoza the best friend wa mke/mpenzi wako... hao BFF ndo maadui wakuu wa uhusiano/ndoa ya mkeo hivyo ni rahisi sana kuwa mchepuko wako. Na siku wife akizingua unampa surprise ya kumpandisha cheo BFF wake.
Unaweza mlazimisha mtu kumuoa?? Huyo mwanamke alimpenda huyo jamaa, sema itakuwa marafiki na tamaa za hapa na pale kwa wanawake.Kajipa kazi ya kutoa uhai wa mwanadamu ambayo si yake, hukumu ya Mungu yamhusu! inaelekea kabisa alikuwa anatumia nguvu ya pesa wakati hakuwa anapendwa na inaelekea alikuwa anajua kuwa hapendwi. Pesa kamwe haiwezi nunua kila kitu.
Wivu unakuja ukimpenda mtu bila kuangalia ni mzuri sana ama kawaida tu.Aisee huyo demu wa wakawaida Sana sasa sijui huyo Jamaa wivu ulikuwa wa nn maziwa yamechapa usingizi demu ana range 30+ nk
Hamna Pombe tu hizo huwez mzimikia demu Kama huyo Hadi kumpa risasi za ubongoWivu unakuja ukimpenda mtu bila kuangalia ni mzuri sana ama kawaida tu.
Hawafahamu vizur wauza mbogaMwanza matajiri wengi ni wavuvi. Sijui unalitazamaje hili!
unadharau wavuvi wa Mwanza
Ebu kaa mbali.Siwezi kujibishana na majitu yasiyo jielewa.Huko ulaya wanaume hawauwi wanawake wajinga?
oya ya kweli hayaHuko kwa yesu kwani hampigani ndio vile tuu hammiliki shaba...
Mnaachana vizuri tuu wazee wa kanisa wanajipigia muangalie pascal kassian mkewe kazaa na mzee wa kanisa
Hakuna kwa yesu wala kwa nani tabia ni vazi
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Ni kweli ukipenda lazima uumie, niliwahi kulizwa sema sikuwa na madhara maana hata nauli ya kumfata sikuwa nayo. Kuna saa umasikini unaokoa.Wivu unakuja ukimpenda mtu bila kuangalia ni mzuri sana ama kawaida tu.
Historia ya Binti mpambanaji, aliyeuwawa na Mumewe kwa kupigwa Risasi Jijini Mwanza
Ni halali tunavyokufa,siyo Kwa matusi hayoDuh asee kwa huu mdomo na matusi mbele ya hadhara lazima mtu ujae nyongo. Halafu mimi mwanamke kama huyu kwa akili na utashi wangu hapo ndio tunakuwa tumeachana siwezi kuishi na takataka kama hii.
MWANZA: HII NDIYO HARUSI YA SWALHA, MWANAMKE ALIYEFARIKI KWA KUPIGWA RISASI SABA KICHWANI NA MUMEWE
Elimu ya mahusiano iliyopo imelalia upande mmoja wa feminine imperative. Jamii nzima inalelewa kwa ajili ya kutimiza mahitaji wa mwanamke. Vijana wanapoona wanatimiza kila kitu kama walivyoelekezwa na jamii na kisha matarajio yao ya penzi la kudumu na lisilo na masharti kutoka kwa wanawake husika kutotimizwa wanajiona wamekosewa pakubwa na hivyo kuchukua maamuzi magumu.Ujue elimu ya mahusiano nadhani jamii yetu inatukosa mkuu.
Wanafunzi wanauana vyuoni
MWANZA: HII NDIYO HARUSI YA SWALHA, MWANAMKE ALIYEFARIKI KWA KUPIGWA RISASI SABA KICHWANI NA MUMEWE
yes ni upuuzi sana kujiua au kumuua mwanamke kwa sababu ya wivu wa mapenzi. Halafu kitu kimoja ambacho wanaume wote duniani wanapaswa kupewa somo ni kwamba wanawake wote huwa wana maudhi by nature so mwanamke anapo kutamkia maneno ya dharau do not take it personalBullshit!
Huwezi kumwacha?
Ndo umuue na wewe ujiue?
Kuna mabilioni ya wanawake dunia hii. Uliyenaye akizingua, mwache uendelee na maisha.
Utapata mwingine.
Yaani nijiue kisa mwanamke, tena ambaye hajatulia?
Nah! Not worth my beautiful and precious life.
Mkuu huyo siyo wa singidaUsioe singida