Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

tunaandika mengi sana lakini lazima tukubali kuna kitu kinaitwa Uumbaji wa Mwenyezi Mungu, shida zinaanzia hapa kwa jamii kijaribu kwenda tofauti nje ya huu msingi wa uumbaji..

Mwanamme ameumbwa kwa nafasi yake na Mwanamke ameumbwa kwa nafasi yake...kila mtu akienda nje ya majukumu ndio shida inaanza..
Tatizo kubwa liko kwa dada zetu au mama zetu, kupenda sana starehe, kujifanya watafutaji wa hela..na kujifanya wanaweza kusastain maisha yao...Hapo ndio shida ilipoanzia na kuanza kumdharau mwanamme..
 

[emoji3516][emoji851][emoji12]
 
Huy

Huyo slay queen ambaye unamuoa,anakua anagegedwa na kila mtu anayemtaka,maadili hayataki hivyo,bora umuweke awe mchepuko,lasivyo ni fedheha.
Wewe unaishi kiridhisha watu au unaishi kufurahia maisha yako? Wewe wapo wanawake sio maslay queen na wameolewa na wanatombwer tuu.
 
Ugumu upo wapi wakati kama tako unalo, bikra unayo sasa ugumu upo wapi? Au una tabia mbaya?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]khaaaa!
 
Mimi nipo hapa kuwakumbusha wanawake wasiingie kwenye mahusiano kufata hela za wanaume ili yasiwakute haya maswaibu, kama humpendi mtu mchane mapema kabisa aondoke na hela zake...sio mtu anajenga kibanda.

Kama issue ni kutafuta hela hela kupitia mapenzi wauze miili yao moja kwa moja ili tuwanunue, au date na watu unaotaka ila sio kukimbilia kwenyr ndoa.
 
Watoto hawawezi kukuelewa, hapo hapakuwa na mpira wala show.
 
Hahahahah hapo mnasema jamaa mbaya kweli! hakuna mke humo bora alivyomrestisha in pisi!
 

kama umefuata hela kwenye ndoa basi uwe mtulivu nankufuata amri za mmiliki... tofauti na hapo ni kama mwizi tu aka mvamizi kwenye himaya ya watu.....hahahahahaha...

ni maneno makali kidogo lakini ndio ukweli wenyewe....lazima dada zetu, mama zetu na wadogo zetu wajue hili....
 
kuna ka feeling flan mke unakapata pale unapoambiwa nipikie nije kula😆😆

wallahy, unajihisi we ni mwanamke special

utawahi sokoni chap, uje ukae jikon mwenyewe...

lkn ndo hvyo watu tunatofautiana
Umeona ehh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…