Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Kwa hiyo mwanamke akiwa mzuri ndio anatakiwa kuwa mtumwa!? Au what is ur point?!
Yaani uoe mwanamke halafu aendelee kufanya Biashara za kusafiri? Akikatazwa ndo utumwa? Ukiolewa unatakiwa kubaki na Uhuru wako? Kwa wanawake wapi hawa wadangaji wa Tanzania?

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa. Kuna kaka mmoja alikuwa anaipenda ila mimi sikuwahi kumpenda. Akawa anatuma hela bila hata kumuomba. Nikamuambia nadhani una ndugu zako ambao wana shida na hela, ni bora uwasaidie maana siwezi kuchukua hela ya mtu hovyo hovyo bila kuwa na mpango naye. Huwa naona kama ni dhulma.
 
Anakufuru huyu jamani.
Hapa mtaani kuna Guruguja hata ijilembe vipi hainogi na haitustui kabisa na inafanya kazi taasisi fulani kubwa.
Make up zimemsaidia kupunguza ubaya ila mbaya tu ht iweje.

Namba yake tafadhali.
 
Wanaume kama nyie ndo mnakutwaga mmejinyonga na kamba hadi mmejinyea[emoji57][emoji57]
Huku wanawake Kama wewe wanakutwaga wamepigwa shaba nyingi mpk ndukum hauonekani kwa namna damu ilivyo chafua hio sehemu.
 
Ni kweli, mimi naiheshimu hela ya ngu kwa kweli maana inaipata kwa jasho la haki.
 
Kumbeee
Na wanasema eti mama mtu nae ni sababu ya watoto kuwa na tabia mbaya ...ni kweli??
 
Daah umeongea kitu wewe mwamba
 

1....walikua hawana mawasiliano mazuri simply ndoa yao ilikua ishakufa kibudu, kutopokea simu ni matokeo tu....hii ya kutulia ama kutotuulia haina uhusiano na simu, unaweza ukawa hufanyi uma*laya ila ndoa yako ushaichoka....labda, again Labda huyo Said alikua anam abuse dada wa watu physically ama Psychologically.... dada wa watu akawa exhausted... .kusikiliza mtu/simu katika haya mazingira inakua ngumu kidogo....unakua upo kama haupo...

2...... una uhakika gani hio huduma alikua anaipata kwa huyo Said peke yake???....na utamu akigawa kwa wengine,inahalalisha kuchukua uhai wake???, si muache anakoenda kutoa utamu apewe na huduma huko pia??....

3...Acha kuhalalisha mauaji ndugu, wasukuma (sio wote), wanajua kupenda, wengine wako obsessed na ngozi nyeupe tu, hawana love wala nini, ukimpenda mtu sometimes you have to let her go!

..
 
Ku
Kwenye maisha ni muhimu kuwa na nidhamu na heshima haijalishi ni kwa mtu wa aina gani. Kama huna uwezo wa kupanga nyumba ya 200k, basi panga ya 50k maana ndio uwezo wako. Usitake vya gharama ili hali wewe ni wa kima cha chini. Na ukianza kutaka vya ghali ndio mwanzo wa kudanga. Na hii biashara ukishaianza ni ngumu kuiacha maana utataka ku maitain stutus. Kuna mdada juzi juzi kahama saa nane usiku kulikimbia danga ambalo limempangishia . Sijui walitibuana nini.
 
bora kuwa mstaarabu tu
 
Huwezi unaweza vipi ukahangaika na mtu ambae bikira yake ujui ,hadi ukatishe uhai wako uwape sononeko wazazi au ndugu zako.
Kwann usipite kushoto, ukiwekeza kwenye mapenzi ni lzm utaambulia majuto
 
Ni mtizamo wangu usinipopoe mawe ndugu. Shida ilikuwepo mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…