Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Kwa hiyo mwanamke akiwa mzuri ndio anatakiwa kuwa mtumwa!? Au what is ur point?!
Yaani uoe mwanamke halafu aendelee kufanya Biashara za kusafiri? Akikatazwa ndo utumwa? Ukiolewa unatakiwa kubaki na Uhuru wako? Kwa wanawake wapi hawa wadangaji wa Tanzania?

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Sikuzote tunawaambia hawa wanawake humu, kama mwanaume humpendi usipokee hata hongo zake! Wengine walivyo mabogaz wanakula hela na kujisifu wakijiona wajanja matokeo yake wakiitwa hawaendi, wengine wanaona bora waolewe kabisa ila wanakuwa wapo kwa sababu wamepewa mitaji ya biashara ama kujengewa nyumba na kupewa hela za starehe!

Acheni mchezo na hisia za watu nyie. Mtu unaona kabisa humpendi mkatae mapema msitafute justification za kula hela za wanaume kwa kukubali ndoa halafu mnafanya umalaya mkiwa ndoani! Mtaishaaa!!!
Kweli kabisa. Kuna kaka mmoja alikuwa anaipenda ila mimi sikuwahi kumpenda. Akawa anatuma hela bila hata kumuomba. Nikamuambia nadhani una ndugu zako ambao wana shida na hela, ni bora uwasaidie maana siwezi kuchukua hela ya mtu hovyo hovyo bila kuwa na mpango naye. Huwa naona kama ni dhulma.
 
Anakufuru huyu jamani.
Hapa mtaani kuna Guruguja hata ijilembe vipi hainogi na haitustui kabisa na inafanya kazi taasisi fulani kubwa.
Make up zimemsaidia kupunguza ubaya ila mbaya tu ht iweje.

Namba yake tafadhali.
 
Wanaume kama nyie ndo mnakutwaga mmejinyonga na kamba hadi mmejinyea[emoji57][emoji57]
Huku wanawake Kama wewe wanakutwaga wamepigwa shaba nyingi mpk ndukum hauonekani kwa namna damu ilivyo chafua hio sehemu.
 
Anayepambana anaingiza hela kwa jasho lake kwa maumivu ama alisota na shule ni lazima aiheshimu hela hata Kama ni shilingi. Nashukuru Sana Tena hata huyu atakuwa anajidai mmewe labda anaingiza 100M per day so anaiona iyo ni ndogo na ilhali akiachwa hata na watt wawili hawezi wasimamia bila ya kupanua mapaja
Ni kweli, mimi naiheshimu hela ya ngu kwa kweli maana inaipata kwa jasho la haki.
 
Huyu dada hii ndoa yake ni ya pili na mwanaume wa kwanza alikuwa na pesa tu na alifunguliwa biashara kubwa na siku ya harusi alizawadiwa gari aina kama ya harrier,akajengewae nyumba ndogo kwao kwa wazazi wake kupapendezesha
Kwa hiyo huyu dada alikuwa anatembea na watu wenye pesa Na alimuacha mume wa kwanza pia
Huyu kaka sio kwamba ndio amemuinua huyu dada alikuta wenzie tayari washafanya
Kumbeee
Na wanasema eti mama mtu nae ni sababu ya watoto kuwa na tabia mbaya ...ni kweli??
 
Kupata mwanamke anaekusikiliza na kukuheshimu kama baba yake ni baraka kubwa sana ambayo wengi wanaikosa katika kizazi hiki, Asante Mungu.

Muda mwingine sisi wanaume tunashindwa kusimamia uanaume wetu, hivi Mungu kakujalia Pesa na afya ya nini kung'ang'ania mwanamke anaekuumiza akili?? Najua mapenzi yanauma na pengine labda kuna watu wapo humu JF muda huu wanapitia fukuto la mahusiano, nawashauri mfanye maamuzi ya kiume kabla hamjachelewa.

"Every woman in any given reletionship, is taken as the man's project".

Project imekushinda, achia wengine wahangaike nayo kwanini uumie?
Daah umeongea kitu wewe mwamba
 
Mwanaume au mwanamke yeyote asiyetulia ndio pekee anaweza kuona simu ya mwenzi wake kama ni kero. Ila kama unampenda mtu wako uko tayari hata kama unafua simu iko sikioni. Ni malayaa tu ndo huona simu za wenzi wao kama hazina maana na ni kero.

Halafu inakuja vipi huduma upate kwa said halafu utamu ukagawe kwa wengine... Yani huwa sipendi mauusiano yasiyo na uaminifu maana nilishayapitia. Yani unapiga simu linapokea baada ya kupiga mara kibao then linadanganyia ubize.

Risasi zitatembea sana hadi pale mlioolewa mtakapoacha kudanga. Wasukuma ni wastaarabu sana kwenye mahusiano huwa hawana tabu zaidi ya kujua kupenda . Kikubwa tu umpatie nafasi ya kuwa mume na wewe uwe mke ambaye Ana utii na unyenyekevu.
Labda wakurya ndo watata (wakurya msinipopoe).

1....walikua hawana mawasiliano mazuri simply ndoa yao ilikua ishakufa kibudu, kutopokea simu ni matokeo tu....hii ya kutulia ama kutotuulia haina uhusiano na simu, unaweza ukawa hufanyi uma*laya ila ndoa yako ushaichoka....labda, again Labda huyo Said alikua anam abuse dada wa watu physically ama Psychologically.... dada wa watu akawa exhausted... .kusikiliza mtu/simu katika haya mazingira inakua ngumu kidogo....unakua upo kama haupo...

2...... una uhakika gani hio huduma alikua anaipata kwa huyo Said peke yake???....na utamu akigawa kwa wengine,inahalalisha kuchukua uhai wake???, si muache anakoenda kutoa utamu apewe na huduma huko pia??....

3...Acha kuhalalisha mauaji ndugu, wasukuma (sio wote), wanajua kupenda, wengine wako obsessed na ngozi nyeupe tu, hawana love wala nini, ukimpenda mtu sometimes you have to let her go!

..
 
Ku
Pains and pleasure na kitu na kivuli chake mkuu. The more pleasure the more pains ikienda vice versa. It's like two edged sword. Kwa wale wa trading ni Kama risk na gains ziko proportion ama leverage ilivyo. Uko risk more ni rahisi unapoteza Sana na faida ivyo ivyo kuipata.
Angalia demu unayempenda ama mtu yeyote unayempenda ndiye anayekupa maumivu.
Pains is love ja rule aliimba.
Ukioa mzuri kubali kuchangia na wenye kisu kikali Kama Malaya wanavyojitapa wanahalalisha njaa zao na umasikini wao wa kut00mbwa kisa Cha njaa zao. Ila hpa sidhani Kama binti wa kikwete atakuambia haya. Kumbuka hapa ni umasikini unamsumbua Mana ama scarcity na materials things pia hajawahi zunguka viwanja na amiliki magari so shobo Kama zote. Ukikodi gari tu umempata
Kwenye maisha ni muhimu kuwa na nidhamu na heshima haijalishi ni kwa mtu wa aina gani. Kama huna uwezo wa kupanga nyumba ya 200k, basi panga ya 50k maana ndio uwezo wako. Usitake vya gharama ili hali wewe ni wa kima cha chini. Na ukianza kutaka vya ghali ndio mwanzo wa kudanga. Na hii biashara ukishaianza ni ngumu kuiacha maana utataka ku maitain stutus. Kuna mdada juzi juzi kahama saa nane usiku kulikimbia danga ambalo limempangishia . Sijui walitibuana nini.
 
bora kuwa mstaarabu tu
Kweli kabisa. Kuna kaka mmoja alikuwa anaipenda ila mimi sikuwahi kumpenda. Akawa anatuma hela bila hata kumuomba. Nikamuambia nadhani una ndugu zako ambao wana shida na hela, ni bora uwasaidie maana siwezi kuchukua hela ya mtu hovyo hovyo bila kuwa na mpango naye. Huwa naona kama ni dhulma.
 
Huyu dada hii ndoa yake ni ya pili na mwanaume wa kwanza alikuwa na pesa tu na alifunguliwa biashara kubwa na siku ya harusi alizawadiwa gari aina kama ya harrier,akajengewae nyumba ndogo kwao kwa wazazi wake kupapendezesha
Kwa hiyo huyu dada alikuwa anatembea na watu wenye pesa Na alimuacha mume wa kwanza pia
Huyu kaka sio kwamba ndio amemuinua huyu dada alikuta wenzie tayari washafanya
Huwezi unaweza vipi ukahangaika na mtu ambae bikira yake ujui ,hadi ukatishe uhai wako uwape sononeko wazazi au ndugu zako.
Kwann usipite kushoto, ukiwekeza kwenye mapenzi ni lzm utaambulia majuto
 
1....walikua hawana mawasiliano mazuri simply ndoa yao ilikua ishakufa kibudu, kutopokea simu ni matokeo tu....hii ya kutulia ama kutotuulia haina uhusiano na simu, unaweza ukawa hufanyi uma*laya ila ndoa yako ushaichoka....labda, again Labda huyo Said alikua anam abuse dada wa watu physically ama Psychologically.... dada wa watu akawa exhausted... .kusikiliza mtu/simu katika haya mazingira inakua ngumu kidogo....unakua upo kama haupo...

2...... una uhakika gani hio huduma alikua anaipata kwa huyo Said peke yake???....na utamu akigawa kwa wengine,inahalalisha kuchukua uhai wake???, si muache anakoenda kutoa utamu apewe na huduma huko pia??....

3...Acha kuhalalisha mauaji ndugu, wasukuma (sio wote), wanajua kupenda, wengine wako obsessed na ngozi nyeupe tu, hawana love wala nini, ukimpenda mtu sometimes you have to let her go!

..
Ni mtizamo wangu usinipopoe mawe ndugu. Shida ilikuwepo mahali
 
Back
Top Bottom