Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Tuombe mungu atumbe wake/ waume waaminifu
 
Mdogo wangu unashuka mapoint leo Hadi nafurahi kukusoma yani, sikujua km una akili nyingi hivi,, una msimamo na unaongea uhalisia Shem wangu akuoe sasa ili afaidi loh[emoji7][emoji7]
Hawanioni mwaya...
Wanataka tu utamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niombee upepo wa kisulisuli ukuje
 
Waliotwangana risasi maskin.

Kweli hamna aijuae kesho yake View attachment 2246237
Ukiingalia hii video kwa umakini utaona mambo mawili:-

1. Mwanaume anamkisi mwanamke mara nyingi na body language yake inaonyesha anakisi kwa hisia, kwa kumaanisha (he is feeling the kiss)
2. Mwanamke anajaribu kukwepa attempts zote za jamaa kumkisi though hapa watu wanaweza sema "she was busy trying to record a video". Na pia body language yake inaonyesha she was not much interested with kissing.

Hapa napata picha ya kuwa their love relationship was one-sided. Mwanamke hakuwa in real love na jamaa.

All in all, sio sahihi kutoa uhai wa bainadamu mwenzio kwa sababu za kimapenzi. #Muache_aende#
 
Jamaaa ni shujaa. period

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
The same applies to men
 
Na kisha akaenda kupost mitandaoni bila kupenda au sio??
Sijui akili mnazikalia au vipi.
 
Hawa watakuwa walikuwa na matatizo mengine kabisa. Haiingii akilini kuua mke eti kwa sababu ameenda kwenye concert
 
Hawa watakuwa walikuwa na matatizo mengine kabisa. Haiingii akilini kuua mke eti kwa sababu ameenda kwenye concert
Kuna mambo ya Ushirikinaa kama yoteee... Mara washawahii kukuta njiwa wawili wamevishwa sandaa nyumbani kwaoo.. Hii yote ni tokana na Saidi kuwaacha wanawake aliotafuta nao na kubeba huyu slay queen naona Maex kuna mmoja akamnyooshaa maana nasikia ile nyumba kuna Mwanamke alijenga naee.. Hii dunia ina mengi sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…