CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
So what??Nimepata picha za swalha akiwa shule alisoma na washikji zangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So what??Nimepata picha za swalha akiwa shule alisoma na washikji zangu
Ukiacha hisia zikuendeshe, kwa ujeuri utaishia kufeli
Sababu neno la ukweli sio zuri na neno zuri halina ukweli
Nimepata picha za swalha akiwa shule alisoma na washikji zangu
Nlikuwa safarini cm ikazima ndo nakuja mda huuSikupopoi mkuu,mjadala huru huu..kuwa free mamii...
Hawanioni mwaya...Mdogo wangu unashuka mapoint leo Hadi nafurahi kukusoma yani, sikujua km una akili nyingi hivi,, una msimamo na unaongea uhalisia Shem wangu akuoe sasa ili afaidi loh[emoji7][emoji7]
Mungu atakutimizia hitaji lako mtoto mzuriHawanioni mwaya...
Wanataka tu utamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niombee upepo wa kisulisuli ukuje
Amen my dia mahaba tele kwako [emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]Mungu atakutimizia hitaji lako mtoto mzuri
Ukiingalia hii video kwa umakini utaona mambo mawili:-
Jamaaa ni shujaa. periodUkiingalia hii video kwa umakini utaona mambo mawili:-
1. Mwanaume anamkisi mwanamke mara nyingi na body language yake inaonyesha anakisi kwa hisia, kwa kumaanisha (he is feeling the kiss)
2. Mwanamke anajaribu kukwepa attempts zote za jamaa kumkisi though hapa watu wanaweza sema "she was busy trying to record a video". Na pia body language yake inaonyesha she was not much interested with kissing.
Hapa napata picha ya kuwa their love relationship was one-sided. Mwanamke hakuwa in real love na jamaa.
Kabisa..
Maisha lazima yaendele
Kwani mwanamke ni huyo tu
Alimuona
Ova
hapo ndio shida ilipoanzia.Ila pisii '
Ksfeli sanaIkiwa aliweza kummiliki huyo, Asingeshindwa kumiliki mwengine kama huyo. Sasa kaishia kufanya mambo ya kijinga sana.
Unamsingizia tu kijana wa watu. Hahusiki kabisaHeading isomeke kwaherufi kubwa DAIMOND ASABABISHA KIFO CHA WANANDOA
The same applies to menTatizo liko kwenu Wanawake, mkitaka Ndoa mnakua wapole sana hadi mnatujaza kingi mazima, mkisha tujaza mko tayari ndani ya ndoa Sasa ndiyo mnaanza kuonesha kucha zenu za ukweli kua nyinyi ni Maslay Queens wa ukweli! Sasa mkikutana na vidume wasiokua na kifua ndiyo hayo ya marisasi yanawakuta!!!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Na kisha akaenda kupost mitandaoni bila kupenda au sio??Ukiingalia hii video kwa umakini utaona mambo mawili:-
1. Mwanaume anamkisi mwanamke mara nyingi na body language yake inaonyesha anakisi kwa hisia, kwa kumaanisha (he is feeling the kiss)
2. Mwanamke anajaribu kukwepa attempts zote za jamaa kumkisi though hapa watu wanaweza sema "she was busy trying to record a video". Na pia body language yake inaonyesha she was not much interested with kissing.
Hapa napata picha ya kuwa their love relationship was one-sided. Mwanamke hakuwa in real love na jamaa.
All in all, sio sahihi kutoa uhai wa bainadamu mwenzio kwa sababu za kimapenzi. #Muache_aende#
[emoji28][emoji28][emoji28] jamaniJamaa lilikuwa na bifu kali sana na Diamond maana sio kwa risasi hizo
Sawa. Ila za kichwa hazitaishaSo usipompenda/ usipohudumia siku moja tu na wewe uuwawe,??
Mana huyu mtu kakosa mheshimu siku moja kamdedisha
Na mtafia jela hadi mtie akili
Hawa watakuwa walikuwa na matatizo mengine kabisa. Haiingii akilini kuua mke eti kwa sababu ameenda kwenye concertNdoa hizi zinahitaji AKILI kuzimudu. Hivi kama mme( hata kama hana interest ya kwenda) ukanunua tickets 2, mkaenda na mkeo, ukavumilia, kingeharibika kitu?. Huyu mwanamme hamwonei huruma mama yake? Is it worthy kwenda jela/ kujiua sababu ya mkeo kwenda concert?
Kuna mambo ya Ushirikinaa kama yoteee... Mara washawahii kukuta njiwa wawili wamevishwa sandaa nyumbani kwaoo.. Hii yote ni tokana na Saidi kuwaacha wanawake aliotafuta nao na kubeba huyu slay queen naona Maex kuna mmoja akamnyooshaa maana nasikia ile nyumba kuna Mwanamke alijenga naee.. Hii dunia ina mengi sanaaHawa watakuwa walikuwa na matatizo mengine kabisa. Haiingii akilini kuua mke eti kwa sababu ameenda kwenye concert