Vito Ferari
JF-Expert Member
- Mar 31, 2022
- 290
- 416
Kuishi na mwanamke asiekuwa na mapenzi na wewe ni mtihani kweli kweli.....migogoro haitaisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wanaume mna shida zenu msisingizie tu wanawake.Tatizo liko kwenu Wanawake, mkitaka Ndoa mnakua wapole sana hadi mnatujaza kingi mazima, mkisha tujaza mko tayari ndani ya ndoa Sasa ndiyo mnaanza kuonesha kucha zenu za ukweli kua nyinyi ni Maslay Queens wa ukweli! Sasa mkikutana na vidume wasiokua na kifua ndiyo hayo ya marisasi yanawakuta!!!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hiyo ni akili?!!!Kwanini wasingeenda wote mwanaume tumeshaambiwa tuishi nao wanawake kwa akili na sio mabavu, kwanini hakumshauri bibie waende wote shida ipo wapi kuna watu ni hasara sana kwa taifa
[emoji23][emoji23]Jamaa amejiua kisha akatoroka..
Kama mtu hamuwezani temana nae. Ukiua unapata faida gani??Dah hata risasi saba hazitoshi labda nimalize magazine ya M16
Sura sio roho.Yaani Sura inaonesha kabisa ukizingua anakupeleka kuzimu
Punguzeni tamaa na nyinyi, kama mwanaume haujamuelewa mchane apite kishoto na hela zake sio mnakubali tu uli mchume pesa kwa kigezo cha "akikushindwa akuteme"Kama mtu hamuwezani temana nae. Ukiua unapata faida gani??
Basi acheni mfie jela mkuuNyie sura mbaya ni wakuzalisha tu wakustarehe nao hao waliojaliwa urembo
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Nyie si mnawataja maslay queen wa kuuzia sura maskani wenye sura za baba zetu hamtutaki wacha yawakute
Hahahahahaha...acheni wivuHuyo jamaa ni attention seeker anaetafuta ujiko tu na credit za kishamba kwa mabinti humu JF kwa kujikuta feminist. Sijui ndio anahisi ndio watamwagika PM na kumuona nice guy.Mpuuzie!
Afdhali wewe umeutambua uhalisia wa maisha ya kiafrika "mwanamke atabaki kuwa chini ya mwanaume", ila sasa wanawake wengi wameharibiwa na tamthlia za wazungu kiasi kwamba utamaduni wa kule wanataka kuuleta afrika.View attachment 2244083
Wanawake tujitahidi kumaliza ujana kabla ya kuingia kwenye ndoa.
Pumzika kwa amani dada hukustahili kifo kama hiki na hakuna kosa lolote linaweza kuruhusu ufanyiwe unyama kama huu..
Mi naamini ni muhimu sana mwanamke ujue unataka nini maishani mwako na tuwasome saikolojia ya waume zetu.
Ukiingia kwenye ndoa ujue tu kwa Afrika chini ya mume,kama unataka amani ya ndoa yako kubali hilo utaishi kwa furaha,muhimu msome mume akili yake nk kama atafaa kuwa kiongozi kwako....
Nimekumbuka kuna siku nilimjibu mume jibu la hasara sana,mimi niliona ni jibu la kawaida lakini yeye lilimkwaza sana maana sikuwahi kuona hasira kama ile,nashukuru alikuwa safari laiti angekuwa karibu ni siku ambayo ningepigwa kwa mara ya kwanza.Talaka ilikuwa nje nje either nichague kuwa chini yake Au niondoke [emoji28][emoji28][emoji28]toka hio siku nipo makini sana na kauli zangu
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] hisia zako za kingeseUnaweza kuta kamwambia katika wanaume wote naowajua, ww ndio sio mwanaume nimekosea sana kukaa na ww, natamani uniue kabisa sasa hivi, akamalizia niue niuee, niuee, niuee sasa, niuee, nimechoka, nasema niueeeee, alafu kamtemea mate usoni mara kibao, alafu anampiga piga na vibao ili amuue, alafu anamkanyaga miguu, mateke ili amuue, anampiga vibao vya kila mahali ili amuue, yaani anataka kuuawa, hata ingekuwa mm nitafanyaje sasa.
Hawa ndo akina Mauki😂Sema wewe jamaa una ushauri wa kingese sana kuhusiana na mambo ya wanawake na mahusiano
U nailed it ndo maana tunaambiwa marry ur best friend,haya kuoa au kuolewa without chemistry ndo yanaleta haya yoote,nna mashosti zangu wameolewa wanaenda club na Waume zao,vibao kata vya mjini huwakosi wako na Waume zao wanadrop na kuwapick up,Sasa wale wanaendana.Mmmmmhhhhhhh mjadala inaonekana wanaume mnavutia upande wenu....
Hakuna JUSTIFICATION WHATEVER ya kukufanya utoe uhai wa mwenzako...
Mrudishe ulikomtoa mtoto wa watu maana uliupende Uzuri wake hukuangalia TABIA wala majibu yake na ulikubaliana Naye wakati wa uchumba LEO kaingia kwenye NDOA UNALETA WIVU NA KUMWEKEA MIPAKA!!!!! Utakuwa na akili sawasawa????
Ukimkuta binti wa watu anapenda kwenda NIGHT CLUBS na ukamwoa katika mazingira hayo hayo BASI JUA UKIINGIA KWENYE NDOA NA UKATAKA ABADILIKE BASI NI MKATABA MWINGINE NA MNATAKIWA KUKAA MEZANI......
Yaani kuna watu wakati wanatafuta wachumba wanaongozwa na tamaa na hasa kile kitu katikati ya mapaja yao, wakishaoa ndiyo wanaanza kuweka masharti......
Kwakweli kama atanusurika ANYONGWE HADI KUFA na kutuulia mdada mwenzetu...
Wakataeni wanaume msiowapenda na sio kula hela zao mtitarajia watawaacha tu kirahisi baada ya kuwa mmewafanyia ujinga, wewe humependi mwanaume unaingia nae kwenye ndoa ili iweje???U nailed it ndo maana tunaambiwa marry ur best friend,haya kuoa au kuolewa without chemistry ndo yanaleta haya yoote,nna mashosti zangu wameolewa wanaenda club na Waume zao,vibao kata vya mjini huwakosi wako na Waume zao wanadrop na kuwapick up,Sasa wale wanaendana.
Mwanaume oa mwanamke mnayeendana na anaekuheshimu na kujua nini wataka baaasi