Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Tatizo liko kwenu Wanawake, mkitaka Ndoa mnakua wapole sana hadi mnatujaza kingi mazima, mkisha tujaza mko tayari ndani ya ndoa Sasa ndiyo mnaanza kuonesha kucha zenu za ukweli kua nyinyi ni Maslay Queens wa ukweli! Sasa mkikutana na vidume wasiokua na kifua ndiyo hayo ya marisasi yanawakuta!!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hata wanaume mna shida zenu msisingizie tu wanawake.
 
Kwanini wasingeenda wote mwanaume tumeshaambiwa tuishi nao wanawake kwa akili na sio mabavu, kwanini hakumshauri bibie waende wote shida ipo wapi kuna watu ni hasara sana kwa taifa
Hiyo ni akili?!!!
Yaani ulazimike kwenda kukesha kwenye shoo ya kipuuzi kisa mke analazimisha?
Na wao wameambiwa watii waume..
Na pia, tumeambiwa '..mume ni kichwa cha mkewe', meaning maamuzi ya mume ndo yanasimama!
Siungi mkono mauaji, lakini sikubaliani na mke kukaidi maelekezo ya mume.
 
IMG_9886.JPG

Wanawake tujitahidi kumaliza ujana kabla ya kuingia kwenye ndoa.

Pumzika kwa amani dada hukustahili kifo kama hiki na hakuna kosa lolote linaweza kuruhusu ufanyiwe unyama kama huu..

Mi naamini ni muhimu sana mwanamke ujue unataka nini maishani mwako na tuwasome saikolojia ya waume zetu.

Ukiingia kwenye ndoa ujue tu kwa Afrika chini ya mume,kama unataka amani ya ndoa yako kubali hilo utaishi kwa furaha,muhimu msome mume akili yake nk kama atafaa kuwa kiongozi kwako....

Nimekumbuka kuna siku nilimjibu mume jibu la hasara sana,mimi niliona ni jibu la kawaida lakini yeye lilimkwaza sana maana sikuwahi kuona hasira kama ile,nashukuru alikuwa safari laiti angekuwa karibu ni siku ambayo ningepigwa kwa mara ya kwanza.Talaka ilikuwa nje nje either nichague kuwa chini yake Au niondoke [emoji28][emoji28][emoji28]toka hio siku nipo makini sana na kauli zangu
 
Sema wanawake wanakera, unampa kila kitu bado hatulii...Ingawa kuua sio uamuzi sahihi.
 
Huyo jamaa ni attention seeker anaetafuta ujiko tu na credit za kishamba kwa mabinti humu JF kwa kujikuta feminist. Sijui ndio anahisi ndio watamwagika PM na kumuona nice guy.Mpuuzie!
Hahahahahaha...acheni wivu
 
View attachment 2244083

Wanawake tujitahidi kumaliza ujana kabla ya kuingia kwenye ndoa.

Pumzika kwa amani dada hukustahili kifo kama hiki na hakuna kosa lolote linaweza kuruhusu ufanyiwe unyama kama huu..

Mi naamini ni muhimu sana mwanamke ujue unataka nini maishani mwako na tuwasome saikolojia ya waume zetu.

Ukiingia kwenye ndoa ujue tu kwa Afrika chini ya mume,kama unataka amani ya ndoa yako kubali hilo utaishi kwa furaha,muhimu msome mume akili yake nk kama atafaa kuwa kiongozi kwako....

Nimekumbuka kuna siku nilimjibu mume jibu la hasara sana,mimi niliona ni jibu la kawaida lakini yeye lilimkwaza sana maana sikuwahi kuona hasira kama ile,nashukuru alikuwa safari laiti angekuwa karibu ni siku ambayo ningepigwa kwa mara ya kwanza.Talaka ilikuwa nje nje either nichague kuwa chini yake Au niondoke [emoji28][emoji28][emoji28]toka hio siku nipo makini sana na kauli zangu
Afdhali wewe umeutambua uhalisia wa maisha ya kiafrika "mwanamke atabaki kuwa chini ya mwanaume", ila sasa wanawake wengi wameharibiwa na tamthlia za wazungu kiasi kwamba utamaduni wa kule wanataka kuuleta afrika.

Kama huwezi kuwa chini ya mwanaume kwanini ukubali ndoa wakati kama ni kutombw utatombw tu hata bila ndoa? Na kama ni mtoto unaweza kupata bila hata ndoa, JIBU linakuja kwamba wengi huolewa kutafuta uahueni wa maisha.
 
Unaweza kuta kamwambia katika wanaume wote naowajua, ww ndio sio mwanaume nimekosea sana kukaa na ww, natamani uniue kabisa sasa hivi, akamalizia niue niuee, niuee, niuee sasa, niuee, nimechoka, nasema niueeeee, alafu kamtemea mate usoni mara kibao, alafu anampiga piga na vibao ili amuue, alafu anamkanyaga miguu, mateke ili amuue, anampiga vibao vya kila mahali ili amuue, yaani anataka kuuawa, hata ingekuwa mm nitafanyaje sasa.
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] hisia zako za kingese
 
Mmmmmhhhhhhh mjadala inaonekana wanaume mnavutia upande wenu....

Hakuna JUSTIFICATION WHATEVER ya kukufanya utoe uhai wa mwenzako...

Mrudishe ulikomtoa mtoto wa watu maana uliupende Uzuri wake hukuangalia TABIA wala majibu yake na ulikubaliana Naye wakati wa uchumba LEO kaingia kwenye NDOA UNALETA WIVU NA KUMWEKEA MIPAKA!!!!! Utakuwa na akili sawasawa????

Ukimkuta binti wa watu anapenda kwenda NIGHT CLUBS na ukamwoa katika mazingira hayo hayo BASI JUA UKIINGIA KWENYE NDOA NA UKATAKA ABADILIKE BASI NI MKATABA MWINGINE NA MNATAKIWA KUKAA MEZANI......

Yaani kuna watu wakati wanatafuta wachumba wanaongozwa na tamaa na hasa kile kitu katikati ya mapaja yao, wakishaoa ndiyo wanaanza kuweka masharti......

Kwakweli kama atanusurika ANYONGWE HADI KUFA na kutuulia mdada mwenzetu...
U nailed it ndo maana tunaambiwa marry ur best friend,haya kuoa au kuolewa without chemistry ndo yanaleta haya yoote,nna mashosti zangu wameolewa wanaenda club na Waume zao,vibao kata vya mjini huwakosi wako na Waume zao wanadrop na kuwapick up,Sasa wale wanaendana.
Mwanaume oa mwanamke mnayeendana na anaekuheshimu na kujua nini wataka baaasi
 
Wakataeni wanaume msiowapenda na sio kula hela zao mtitarajia watawaacha tu kirahisi baada ya kuwa mmewafanyia ujinga, wewe humependi mwanaume unaingia nae kwenye ndoa ili iweje???
 
I can bet,huyu jamaa itakuwa alikuwa hanywi pombe. Manake sisi wazee wa pombe tuna tabia ya kutek mambo simple. Nikishakaa bar yangu napiga Moet ama Chandon ama Hennessy yangu huku nimezungukwa na warembo siwezi onea wivu mke. Tujifunze kubalance mambo
 
Back
Top Bottom