Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Kwa kweli wanaume tunajileteaga presha za bure kwa kuendekeza wivu wakijinga....wannawake wapo tuenjoy nao...leo kakupa wewe kesho kampa mwengine basi yote heri tuu maana utamu upo pale pale
...Ina Deni Ndani??...
 
Dah huyu alistahili hata magazine 5 kabisa, si risasi 7. Inaonekana mwamba alikuwa mstaarabu sana ila kupenda kahaba ndo kumemponza. Ndo maana hadi kajiua

Ila angewakuta hapo ukumbini angefagia hadi mchepuko
Huyu dada alistahili apigwe na javelin kabisa!
 
Pisi yamoto mno sema inasemekana mwamba alichukua kipindi ana jiwe la maana wakawa wanaenda sawa mtoto full option yani kila atakacho muhuni anapangua mwamba akaoa kabisa na kazi alimuachisha akawa anaenda nae sawa ila kilichotokea mwamba aliyumba kipesa so akapoteza control.

Kama mjuavyo watoto wakali ni chakula ya team fisi wote wenye visu vikali so kwenye mpunga lazma ang'oke tu. Jamaa yake akaanza kuingiza wivu sasa maana kusikilizwa ikawa hamna demu akitaka kutoka hata ukimpiga ban hasikilizi anaforce tu.

Kilichofata baada ya hasira na uchungu.
Ukiañgalia hii picha..unaweza ukatoa ubashiri wa jinsi mahusiano yao yalivyokuwa..mwanaume kuna uwezekano amehustle sana kufika hapo alipo..labda anatokea from humble beginnings..story ya mtoto wa manzese kumiliki pisi kali ya mbezi beach..au kama mondi alivyommiliki wema..tension zinakuwa za voltage kubwa..mademu wa kali kama hao sie watoto wa uswazi ni wa kupiga na kusepa..USIOE..
 
Sasa ndugu yangu hata kama unachelewa kurudi home ni wajibu wako kumuambia mkeo mapema tu leo nitachelewa kurudi sababu moja mbili huwezi kuishi na mtu bila kuwa na mawasiliano unajifanyia unayo yataka simu zipo lazima kuambiana. Mimi nashangaa ndoa zingine mimi siwezi nje ya routine zangu ni lazima nimjulishe mwenzangu niko wapi nafanya nini unajenda kitu baina yako na yeye. Nadhani kuna kitu hakiko sawa katika ndo nyingi. Mwanammke wakati mwingine sio pesa anahitaji zaidi kuthaminiwa wanapenda ukimthamini kumuheshimu vitu vidogo lakini vinawapa faraja, kumpigia simu nitachelewa kwa sababu moja napita sehemu hii ni heshima kwake. Tujifunze kuishi na wake zetu, wanawake kama watoto wavumilivu sana lakini pia ni hatari sana ukiwavunjia heshima.
Kuna demu wa kuthaminiwa na kuna demu mwenye tamaa tamaa. Hebu kamthamini Irene Uwoya ili tukuone ulivyo bingwa wa kupiga simu😄 kama mtatoboa hata mwezi mmoja.
 
Polisi Jijini Mwanza wamethibitisha kwamba mwili wa Mfanyabiashara Said Mganga (37) anayedaiwa kumuua kwa risasi Mke wake Swalha Salum (28) umekutwa ufukweni mwa ziwa Victoria akiwa na jeraha la risasi kidevuni ikiaminika alijipiga.

Akiongea na AyoTV Kaimu Kamanda wa Polisi Mwanza Mairi Makori amethibitisha kifo hicho na mwili huo kuopolewa ambapo amenukuliwa akisema "mwili huo umeopolewa ziwani eneo la ufukwe wa Rock Beach ukiwa na majeraha ya risasi kajipiga kidevuni, tumejiridhisha kuwa ndiye Mtuhumiwa wa mauaji ya Swalha” #MillardAyoUPDATES
...Wauchunguze Mwili sawasawa na Wajiaminishe. Mtuhumiwa anaweza akajiongeza na akaongea na Watu na Mwili uliokutwa Ufukweni ukawa Umetoka Mortuary na Mtuhumiwa Yuko Visiwani au Uganda Kwa Raha zake! Ogopa Pesa...!
 
Kakutana nae kwene starehe leo anataka asiende huko kwene starehe. Inabidi tujifunze kuchagua watu tunaoendana nao sio unamkuta mtu chapombe unataka aache ni haiwezekani vinginevyo tutaendelea kuuana tu.
Point kabisa, unapooa malaya ujue na package yake unaioa huwezi kuziondoa drivers zake za ukicheche na kupenda starehe na hela eti kisa umemuoa.
 
Maskini ni Rahisi kuacha mwanamke na kuoa mwingine na siyo mtu mwenye Fedha, hapo lazima tujiulize kwanini? Na hata Masuala ya ndoa watu wenye Fedha walio wengi hawanafurahana na ndoa zao, tofauti na watu wenye maisha ya kawaida wanafurahia ndoa zao na migogoro ni michache
Maskini ana nafasi kubwa ya kumpata mpenzi wa kweli😄 ila tajiri wanawake walioko jirani yake ni slay queens wachumia tumbo.
 
View attachment 2244083

Wanawake tujitahidi kumaliza ujana kabla ya kuingia kwenye ndoa.

Pumzika kwa amani dada hukustahili kifo kama hiki na hakuna kosa lolote linaweza kuruhusu ufanyiwe unyama kama huu..

Mi naamini ni muhimu sana mwanamke ujue unataka nini maishani mwako na tuwasome saikolojia ya waume zetu.

Ukiingia kwenye ndoa ujue tu kwa Afrika chini ya mume,kama unataka amani ya ndoa yako kubali hilo utaishi kwa furaha,muhimu msome mume akili yake nk kama atafaa kuwa kiongozi kwako....

Nimekumbuka kuna siku nilimjibu mume jibu la hasara sana,mimi niliona ni jibu la kawaida lakini yeye lilimkwaza sana maana sikuwahi kuona hasira kama ile,nashukuru alikuwa safari laiti angekuwa karibu ni siku ambayo ningepigwa kwa mara ya kwanza.Talaka ilikuwa nje nje either nichague kuwa chini yake Au niondoke [emoji28][emoji28][emoji28]toka hio siku nipo makini sana na kauli zangu
Na kauli ndio huwa zinawacost pakubwa
 
Kwanini wasingeenda wote mwanaume tumeshaambiwa tuishi nao wanawake kwa akili na sio mabavu, kwanini hakumshauri bibie waende wote shida ipo wapi kuna watu ni hasara sana kwa taifa
Kuweni na kauli juu ya wake zenu, wewe ndiye mwanaume. Usiruhusu ujinga kwako ukadhani ndio mtaishi kwa amani. Mwanamke akileta upuuzi....kuwa mpuuzi Mara saba zaidi yake.
 
Mwanamke umri miaka 28 alaf mpambaji , kila sku Photoshop, itoshe kusema mwamba alioa bomu .....!! Na imemcost Sana
 
Unatoa mifano rahisi kwa ishu complex. Unaongea as if unaishi Mars. Kuna baadhi ya scenarios I choose not to comment kwavile story zinazotufikia zinakuwa zipo nusu. Ila penye hasira control inapoteaga, hapo unaweza Kuta wote walikuwa na hasira, huyu zikamtuma kujibu shit, mwingine zikamtuma kuitumia bastola.
Hasira zikizidi huwa nahitaji total silence ya mwanamke otherwise ntampa kipondo tu.
 
Ila jamani, kuoa mwanamke ambaye akikatiza lazima watu waache kazi zao wamkodolee macho ni kujitafutia maradhi tu.
its all fun hadi pale atapoanza dhereu mbele yako na kukukazia sababu kila mtu anamtongoza hadi waliokuzidi kimaisha
 
Sidhani kama alikosa means ya kuitafuta ya kiamani kabisa, shida kuna watu mnapenda mifumo dume sana sio kila jambo utakua mkali, jaribu pia kumpa nafasi mwenzako vitu anavyopenda mnataka mfanane kila kitu kama hupendi mziki yeye anapenda mpe nafasi unaweza mpeleka wewe ukaenda sehemu tulivu ukimsubiria atoke simple
Labda huko ulaya kwenu. Narudia tena usiruhusu ujinga katika ndoa.
 
Kuna mwanangu mmoja aliambiwa na mke wake akirudi jioni amletee Pad maana Simba walikuwa Wanacheza.
.
Mwamba kazunguka Town Kwenye mishe kasahau kurudi Home, waifu anamuuliza vipi Mzigo Wangu, Jamaa akamwambia samahani Mkewangu nimesahau ngoja nioge nikakununulie.
.
Yule mwanamke akamjibu Jamaa Wanaume Wenzako Wataleta maana ww umeshindwa
.
Demu alipigwa kichwa kimoja akaanguka Kwenye tiles Wala hakuomba hata Maji ya Kunywa.
.
Kauli za Wanawake Malaya Ni mbaya Sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kmmmk walai jamaa alimzimisha😄😄😄 wanawake kauli zao ndio huwa zinawaumizaga mara nyingi sababu huropoka bila kufikiria.
 
Back
Top Bottom