Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

"A MAN DOESN'T KNOW WHAT HAPPINESS IS UNTIL HE'S MARRIED,THEN ITS TOO LATE".... Hapa pro-feminist & feminst like NAOMI WOLF-Hiyo sentensi/msemo/kauli-nukuu...vice versa is true!
 
Kuna jamaa zangu ni watu wa samaki. Wanasema jamaa alimnunulia mitumbwi ya engine huyo dada na kumuandalia kambi huko kwenye kisiwa wanakovulia samaki na dagaa na hiyo kambi ilikuwa inasimamiwa na mdogo wake huyo dada. Lengo ni kumpunguzia huyo dada mizunguko ila huyo dada aligoma. Maana ni mdada wa viwanja na makeup.

Yaani kiufupi jamaa alizingua sana na kuwekeza pesa ndefu kwa huyo dada mpaka kaamua kuoa kabisa. Halafu jamaa ni mtu wa hasira za karibu. Kiufupi jamaa alizingua sana kuoa pisi kali. Angeoa flat moja nyeusi ingemfaa.
Wewe unafahamu maisha wanayoishi watu kwenye hayo makambi ya wavuvi? I wouldn't allow my daughter to be working there. Huko kunafaa wanaume tu na kama ni wanawake labda wale wanaofanya biashara za kuuza bidhaa mbalimbali na kurudi nchi kavu. Lakini kupiga kambi kule hapana. Hata hao wenye sura personal kama anavyosema mzabzab hawawezi kuishi huko sembuse huyo!!!!
 
Nimejifunza mengi ila kiukweli nimekua muoga sana na hizi ndoa.
Huna haja ya kuogopa NDOA , Cha msingi Ni kutafuta mtu ambaye anajua maana ya NDOA Ni nini, na kuelewa majukumu ya mume na majukumu ya mke katika ndoa, wote mkitambua hili na mkiambatana hofu ya mungu basi ndoa itakuwa salama Sana.
Matatizo ya NDOA inategemea na wanandoa wenyewe tangu walipo lelewa kutoka makwao na wanaovyo elewa kuhusu ndoa Nini, wapo watu wengi tuu wanaishi vizuri na kufurahia ndoa , wanapoona wengine wanagombana wanashangaa.
So huna haja ya kuogopa sawa.
 
Wewe unafahamu maisha wanayoishi watu kwenye hayo makambi ya wavuvi? I wouldn't allow my daughter to be working there. Huko kunafaa wanaume tu na kama ni wanawake labda wale wanaofanya biashara za kuuza bidhaa mbalimbali na kurudi nchi kavu. Lakini kupiga kambi kule hapana. Hata hao wenye sura personal kama anavyosema mzabzab hawawezi kuishi huko sembuse huyo!!!!
Kwani jamani wenye sura personal hawatombekiii?
 
Ila Jamani huyu jamaa Said alimpenda Sana huyu Dada, na nafikili alifika kiasi Cha kushidwa kujikocontrol akiwa nae na ikiambatana na wivu juu ona Mambo haya.👇
 
Si mchezo jamaa alishidwa kujicontrol akiwa na Dada , alimpenda Sana. Cheki👇
 
Huna haja ya kuogopa NDOA , Cha msingi Ni kutafuta mtu ambaye anajua maana ya NDOA Ni nini, na kuelewa majukumu ya mume na majukumu ya mke katika ndoa, wote mkitambua hili na mkiambatana hofu ya mungu basi ndoa itakuwa salama Sana.
Matatizo ya NDOA inategemea na wanandoa wenyewe tangu walipo lelewa kutoka makwao na wanaovyo elewa kuhusu ndoa Nini, wapo watu wengi tuu wanaishi vizuri na kufurahia ndoa , wanapoona wengine wanagombana wanashangaa.
So huna haja ya kuogopa sawa.
Sawa 👍
 
Mtoto akizaliwa wa kike,mnasema miliki bastola ama mbwa mkali....yote inapumbaza jamii kudhani mwanamke ni expensive item hivyo should be protected at all costs,

Najua ni utani, ila inamjengea mwanaume attitude ambayo jinsi anavyokua ndivyo inavyozidi kujiwekea mizizi ndani ya mind/kichwa chake, kuwa mwanamke lazima awe analindwa muda wote against wanaume wengine a.k.a mafisi...

Hivyo,Mtu(mwanaume) haoni tabu kumpiga mtu bastola, anayekaribia sio tu mke wake, bali dada, mtoto wake wa kike etc...

Ukiangalia yote ni mizizi/perceptions zimekua cultivated in his mind na jamii, kuwa mwanamke ni thamani hivyo ni kama mali inayotakiwa kulindwa kwa nguvu zote,,,,,,

Hatujui attitudes tunazowajengea vijana wetu zina promote culture of violence!

Sababu wanaume wanaamua not literally kumiliki vibastola ...yes i said vibastola 😁😁😁😁.......

We need to stop by changing/not promoting attitudes kuwa wanawake ni wa thamani since both wanawake na wanaume ni wa thamani, ona sasa, two souls are now gone, hatujui wangapi wanauwawa na 'mbwa mkali' ama 'bastola' and go unreported 😇😇 ..hii ime catch headlines because shosti alikuwa 'pisi kali'...

Ila Nimeshangazwa na jinsi wanaume humu mlivyomuhukumu dada wa watu kwa kuhalalisha kuuwawa kwake....

Yaani ingekua kama ni hukumu then dada wa watu angeuwawa.....

Labda ni kweli huwa anajiachia, ila unajuaje on that particular night aliyouwawa ni kweli she was innocent,kuwa alienda kwenye show ya Diamod just to have a good time na mashosti zake..?.....mnhhhh

Bye the way mmmemsifu huyo mwanaume, ila he was a weakest being and he must had low self-esteem ama insecurities issues ( ambazo kama unajijua unazo kwa nini unaoa mwanamke ambaye ni mzuri and you dont feel safe/secured in her?),

wewe mwanaume kama ni weak na unaona bastola ni added security dhidi ya wanaume wenzio....then poleeeeeeeeeeeeeeee maana hujui kumiliki bastola+ una insecurities+ una mke mzuri ni kama kujivika mabomu kutegemea yasilipuke...

Ofcourse sisi wanawake ni wa thamani, and yes tunatakiwa tulindwe kwa nguvu zote!!!!

BYE!
Saa hizi nimechoka. Nita-comment kuhusu hii post yako kesho.
 
Watanzania Kwa Vimaneno Bwana ! Eti 'Anayedaiwa kumuua Mkewe!'....Sasa ' Anayedaiwa' na nani??
Kwa Nini haisemwi TU 'Aliyeemua Mkewe!' Eti 'Anayedaiwa Kumuua Mkewe!'....Unafiki Kwa kwenda Mbele!!
Tena eti 'kwa kitu chenye ncha kali" kwani ukisema kisu au panga itakuwaje. Hata mb*****o ina ncha kali ndio maana inapenya.
 
Back
Top Bottom