Mtoto akizaliwa wa kike,mnasema miliki bastola ama mbwa mkali....yote inapumbaza jamii kudhani mwanamke ni expensive item hivyo should be protected at all costs,
Najua ni utani, ila inamjengea mwanaume attitude ambayo jinsi anavyokua ndivyo inavyozidi kujiwekea mizizi ndani ya mind/kichwa chake, kuwa mwanamke lazima awe analindwa muda wote against wanaume wengine a.k.a mafisi...
Hivyo,Mtu(mwanaume) haoni tabu kumpiga mtu bastola, anayekaribia sio tu mke wake, bali dada, mtoto wake wa kike etc...
Ukiangalia yote ni mizizi/perceptions zimekua cultivated in his mind na jamii, kuwa mwanamke ni thamani hivyo ni kama mali inayotakiwa kulindwa kwa nguvu zote,,,,,,
Hatujui attitudes tunazowajengea vijana wetu zina promote culture of violence!
Sababu wanaume wanaamua not literally kumiliki vibastola ...yes i said vibastola 😁😁😁😁.......
We need to stop by changing/not promoting attitudes kuwa wanawake ni wa thamani since both wanawake na wanaume ni wa thamani, ona sasa, two souls are now gone, hatujui wangapi wanauwawa na 'mbwa mkali' ama 'bastola' and go unreported 😇😇 ..hii ime catch headlines because shosti alikuwa 'pisi kali'...
Ila Nimeshangazwa na jinsi wanaume humu mlivyomuhukumu dada wa watu kwa kuhalalisha kuuwawa kwake....
Yaani ingekua kama ni hukumu then dada wa watu angeuwawa.....
Labda ni kweli huwa anajiachia, ila unajuaje on that particular night aliyouwawa ni kweli she was innocent,kuwa alienda kwenye show ya Diamod just to have a good time na mashosti zake..?.....mnhhhh
Bye the way mmmemsifu huyo mwanaume, ila he was a weakest being and he must had low self-esteem ama insecurities issues ( ambazo kama unajijua unazo kwa nini unaoa mwanamke ambaye ni mzuri and you dont feel safe/secured in her?),
wewe mwanaume kama ni weak na unaona bastola ni added security dhidi ya wanaume wenzio....then poleeeeeeeeeeeeeeee maana hujui kumiliki bastola+ una insecurities+ una mke mzuri ni kama kujivika mabomu kutegemea yasilipuke...
Ofcourse sisi wanawake ni wa thamani, and yes tunatakiwa tulindwe kwa nguvu zote!!!!
BYE!