Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
kiongozi mbona unataka kuanzisha ligi kwa jambo la wazi ivi au nawew dume suruari?😳Kwann asiolewe
wengine hawa👎
Nani atampasha joto sasa unataka awe mzinzikiongozi mbona unataka kuanzisha ligi kwa jambo la wazi ivi au nawew dume suruari?😳
Mantiki yako unaitoa wapi? Kwenye imani ya kidini, utamaduni au wapi. Yaani fikra zako unaita mantiki? Halafu mantiki isiyo na sababu.wengine hawa👎
hawa wamba hapa nina hakika watasapoti hoja kwa 💯 %Cc::
@Joannah
@Joanah
@Lamomy
@Anastasia21
@realMamy
@cocastic
kiongozi we ni mrundi nini?Mila za wapi hizo?
Nimestaajabu. Mantiki halafu haja-refer popoteMantiki yako unaitoa wapi? Kwenye imani ya kidini, utamaduni au wapi. Yaani fikra zako unaita mantiki? Halafu mantiki isiyo na sababu.
"Anaolewa" wewe ukiwa hai sembuse ukifa?
Dini yenyewe inaruhusu kuolewa huyu mwenzetu Kala makande ya wapi?Mantiki yako unaitoa wapi? Kwenye imani ya kidini, utamaduni au wapi. Yaani fikra zako unaita mantiki? Halafu mantiki isiyo na sababu.
"Anaolewa" wewe ukiwa hai sembuse ukifa?
Litakuwa shoga la kiume hilokiongozi mbona unataka kuanzisha ligi kwa jambo la wazi ivi au nawew dume suruari?😳
uo unaitwa uzinzi na kwenye imani zote hauna nafasi"Anaolewa" wewe ukiwa hai sembuse ukifa?
Ana wivu wa kijinga plus utotoDini yenyewe inaruhusu kuolewa huyu mwenzetu Kala makande ya wapi?