Mume akifa ni marufuku mke kuolewa tena ila akitangulia mke ni ruksa mume kuoa tena

Umetu Cc ili tuwe wajane tusiolewe??
Mimi kwa upande wangu hakuna mjane kijana, nitalia baadae maumivu yakiisha naolewa tena 😹
 
Well kwa kizazi tulichopo hakuna wanawake wa hivyo tena inawezekana kwenye mazishi yako mumewe mpya akahudhuria kukuzika.

Wanawake kizazi cha 1940/50s ndiyo waliiweza hii,mimi mama yangu aliachwa mjane 1987 akiwa na miaka 28 tukiwa tumezaliwa wawili tu mimi na dada yangu but mpaka umri huu naenda kuzeeka sijawahi kuhisi chochote kibaya kwa mama but leo mtu anakufa huku nyuma ndani ya miaka sita mjane wake ana watoto watatu na mimba nyengine tumboni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…