Mume akifa ni marufuku mke kuolewa tena ila akitangulia mke ni ruksa mume kuoa tena

ndio. kwani shida iko wapi kiongozi? mbona mambo mengine marahisi tu mbona mnayakompliketi ivo?
Shida ndugu wana wivu na mali za ndugu yao marehemu. Unavyoishi tafuta kibali cha ndugu pia ili uwe huru kuolewa kama mtoto wao..yaani baba mkwe apokee mahali kwa binti au baba mkwe atoe mahali kwa kijana wake aliyefiwa na mke
 
kwa hiyo unataka iwe ni freelance PISI?
 
wapi uko? burundi au?
Tanzania hii hii,Nafikiri hizo ni mila za kwenu haziwezi kuwa mila za taifa zima.
Mimi ninachojua mfano kwenye Uislamu na hata baadhi ya makabila mke akifiwa na mume anakaa Eda kwa siku 130 na baada ya hapo yupo huru kuolewa tena na kwakuwa mimi ni muumini wa hiyo dini nachojua ndiyo hivyo.
Kwenye Uislamu mke anaolewa hanunuliwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…