Mume anapiga masturbation, hanipi mimi mke, nifanyeje?

Yaani hadi mkono wake unakuzidi utamu ebu jiongezee..
 
ukisoma heading ya uzi inaonyesha mme hapigi mechi sasa kuna mimba bila mechi?
 
why mafuta ya ubuyu?
 
Jifunze kuridhika na hizo "3 buttocks" anazopoga maana ndo mmeo huyo
 
Kumbe JK alikuwa anaonewa tu. Eti watu walimtaka afanye maamuzi magumu.
 
Ukweli mchungu huu hapa
Kwa nilvyokusoma yaelekea unamsumanga sana huyo mume kiasi kwamba hana hamu na wewe anaona bora ajimalizie haja zake.Tuchukulie mfano rahisi mtu yoyote akisumangwa na chakula hamu ya kula inaisha .So kama wewe ni mwanamke wa masumango na kulalamika unamkosesha mumeo hamu ya kufanya.
Kuhusu kutohudumia familia hii hali huanza tangu uchumba.Kama mkiwa wachumba alikuwa akuhudumii hawezi kuanza leo mkiwa ndani.So usimsulubu mumeo huku Jf wakati hii hali umeilea mwenyewe.Tafuta chanzo usipotafuta hata ukimpata mwingine atakuwa kama huyu
What you are looking for is within you.
 
Utasemaje hamn ugomvi wakati hata sukari hanunui ndani na akinunua unamlipa hela yake...... We sema unataka kuchepuka
 
Anza kumlipisha ngono na wewe. Lizigo kama hilo unataka ulisaidie ili iweje, halikuridhishi, halikuhudumii. Achana nae na punyeto zake.
 
Kabla hamjaoana uchumba wenu ulidumu kwa mda gani? Huko nyuma alikuwa anapiga mzigo fresh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…