Mume anapiga masturbation, hanipi mimi mke, nifanyeje?

Huu hapa
Mume wangu hajishughulishi na familia, namfanyia kila kitu, nimechoka
Pole sana ndugu tiku tafuta mwanasaikolojia awasaidie
 
Musturbation sio nzuri ila kwa yeyote aliyehathirika nayo anaweza kurudi katika nguvu zake za zamani. Hakikisha anakula vifustavyo:-

1) Asali mbichi (Atumie kijiko kimoja kikubwa asubuhi nusu saa kabla ya chai au maziwa)

2) Vitunguu swaumu angalau punje 3 kwa siku

3) vyakula vyenye wingi wa protini

4) Maji mengi

5) Mazoezi ya kuimarisha misuli.

RECOMENDATION: Itapendeza zaidi akianza na dawa ya kusafisha system ya dam mwilini (Narecomend dawa za kimasai kwani nikishatumia na zinawork kweli kweli)

Baada ya hapo atakuwa powerful kama Farasi. SIKU NJEMA.
 
Mpe kikombe akukingie anapoenda kupunyetika kama shida yako ni shahawa
 
Aiseeee huyu Mumeo ni shida kwa kweli looh
 
ngoja nimwonyeshe demu wangu anifanyie... ila mkuu we professional aisee...!!!!
 
Kuna baadhi nimeshindwa kushauri sababu sijajua alianza kabla hamjaoana au baada ya kuoana na wewe,ukijibu hilo kuna ziada.
Alianza kabla hatujaoana wakati yuko form three
 
Mkuu mimi nina mke na ni mpenzi sana wa hicho chama cha CHAPUTA na nimeshakuwa addictive ila nikiingia mzigoni mpaka bed inamuombea poooo jinsi anavyo chezeshewa bundasliga na akitoka hapo anaweza kukaa wiki asinitamani
 
Mh yan had m2 anakuacha wew anaamua kupfa pull hapo kuna 2 things involved!
 
Mpe kikombe akukingie anapoenda kupunyetika kama shida yako ni shahawa
wewe ni mtoto kabisaaa na hauko kwenye ndoa akili zako za kitoto.ukikosa ushauri pita kimya kimya,do you think she is joking .mtoa maada pole mwaya hua inaumiza mtu asiporidhika kwenye sex vumilia but mtaftie vyakula natural kwa wingi.
 
inaonekana wewe ni mbaya sana hata mafuta ya kupigia nyeto yana sura nzuri
 
Dada mume wko hafanyi masterbasheni mume wako yuko na wanawake nje asikudanganye besheni haifanyi kua hivyo.

Basheni mtu akipiga dalili zake hua kama hizi

Huchuku mda mrefu kusimamisha tena pengne had ajshke shike
Huchelewa kumwaga wakati wa tendo
Si ahalabu kuweza kurejea tendo


Wengine hupiga nyeto ili kumkomoa mwanamke yeye ni kikojozi akwambie huyo kajifanyia chooo cha nje huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…