Mume anapiga masturbation, hanipi mimi mke, nifanyeje?

Pole
sana hilo ni suala la kisaikolojia, ni muhimu kuwaona madaktari watasaidia lakini pia jitahidi kumbembeleza na kumpa mapenzi angalau mara tatu au nne kwa wiki, mwisho usiwe mkali kwake
 
pole dad angu nafikir kikubwa ujarib kiwa nae mda mwing namanish ukiwa kam nyumbn hiv mkeep busy either movie hasa kwa kitu anachokipenda then aspende kukaa peke ake yani aspate nafac ya kukumbuk hiyo kitu
daah hi chaputa inashik kasi kama freemason imekuw na memba weny roho ngumu
 
Huyo hakupendi. Njoo kwangu nikupe mechi mpka umtukane uyo mumeo
 
Umrizishi ndo maana tafta mchepuko abaki na nyeto zake
 
Anakudanganya huyo anamchepuko alafu kama vile amekuchoka hivi, tafuta sex partner acha kuzubaa ...
 
Uliyoyasema ni kweli kabisa,ila hayo yote ni bure kwa muathirika wa punyeto. Hiyo isikie tu kwa jirani usiombe kukutwa nayo. Hata amuandae vipi hawezi kumridhisha, tena ndo kwanza akiingiza tu na wazungu hao!
 
Mimi nilikuwa sijui ila nahisi alianza kaba hajanioa, aana tangu amenioa huwa anapiga tako 3 amemaliza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha sana na kauli yako ya tako 3
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha sana na kauli yako ya tako 3
Yaani ile moja mbili tatu wayaaaa!!

Yaani jamaa nahisi ikihisi joto kwenye kichwa dushe tayari wana ukawa wanatoka fasta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…