Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Yaani mkuu una jitahidi sana ku legalize this nonsenseZama zimebadilika needs za msingi zama zao zilikuwa chakula, malazi, nguo, na vitu vichache then life linasonga.
Siku hizi ni zaidi ya hayo, chakula, karo za watoto, bima ya afya, dstv, internet, gari, mambo mengi ambayo hayakuwepo. Yote hayo yanahitaji pesa kuyamudu. And mind you, si kwamba jamaa anashindwa afford lifestyle la kawaida ila wanamaintain lifestyle la mwanzo.
Maisha yanabadilika kutokana na maendeleo ya teknolojia yanatuletea demands nyingi ambazo zinageuka kuwa vitu vya muhimu ambavyo hatuwezi kuishi bila kuvitumia.
Kwa wazazi wetu maisha yalikuwa kwa kiasi fulani rahisi kuliko yetu, na maisha ya kizazi chetu yatakuwa magumu kuliko yetu.
The more innovations mankind creates to simplify life, the more complexities arise.
Mkuu,nothing u can do kutetea huu upumbavu
Wewe ukiishiwa,still unatakiwa uwe above your wife
Unaishiwa mpaka unashindwa gharamia watoto wako na kupeleka mboga nyumbani?
Like,who the fvck are you? Mfu?