Mume anapokea 1M salary kwa mwezi na mke anapokea 3M, kutakuwa na heshima kweli hapa?

Mume anapokea 1M salary kwa mwezi na mke anapokea 3M, kutakuwa na heshima kweli hapa?

Zama zimebadilika needs za msingi zama zao zilikuwa chakula, malazi, nguo, na vitu vichache then life linasonga.
Siku hizi ni zaidi ya hayo, chakula, karo za watoto, bima ya afya, dstv, internet, gari, mambo mengi ambayo hayakuwepo. Yote hayo yanahitaji pesa kuyamudu. And mind you, si kwamba jamaa anashindwa afford lifestyle la kawaida ila wanamaintain lifestyle la mwanzo.
Maisha yanabadilika kutokana na maendeleo ya teknolojia yanatuletea demands nyingi ambazo zinageuka kuwa vitu vya muhimu ambavyo hatuwezi kuishi bila kuvitumia.
Kwa wazazi wetu maisha yalikuwa kwa kiasi fulani rahisi kuliko yetu, na maisha ya kizazi chetu yatakuwa magumu kuliko yetu.

The more innovations mankind creates to simplify life, the more complexities arise.
Yaani mkuu una jitahidi sana ku legalize this nonsense

Mkuu,nothing u can do kutetea huu upumbavu

Wewe ukiishiwa,still unatakiwa uwe above your wife

Unaishiwa mpaka unashindwa gharamia watoto wako na kupeleka mboga nyumbani?

Like,who the fvck are you? Mfu?
 
Inategemea aisee. Nina rafiki yangu alifukuzwa kazi mwaka wa 8 au 9 sasa mke wake anavuta kama 3 hivi. Lakini hata kwao mke wanahisi mme ndiye anaendesha familia. Alinunua gari jina la kadi la mumewe. Wakitoka mume ndiye analipa bills lakini pesa kampa mke.
Yani huwezi jua kama mke ndiye anasimamia show na mke anamkubali mmewe kinoma.
Hiyo ni tamthilia sio kwa wanawake hawa wa Kitanzania......
 
Yaani mkuu una jitahidi sana ku legalize this nonsense

Mkuu,nothing u can do kutetea huu upumbavu

Wewe ukiishiwa,still unatakiwa uwe above your wife

Unaishiwa mpaka unashindwa gharamia watoto wako na kupeleka mboga nyumbani?

Like,who the fvck are you? Mfu?
Maisha yamebadilika ndio maana wanawake wanafanya kazi siku hizi tena wka juhudi kweli kweli. Demands ni kubwa kiasi kwamba hata demands zake mwanamke wa kisasa kwa mishahara yetu halali unaweza usisitimize.
Huo ndio ukweli. Mwanamke anataka avae nywele inauzwa laki 8, awe anzo kibao. Una watoto watatu kila mmoja ada 3.5 mil, una gari 2 moja yako nyingine ya mkeo zote uweke mafuta ya kila mwezi.
My point is, huwezi linganisha maisha ya sasa na ya zamani. Tuna vitu vingi vinakula pesa. Yes, kuna watu wana ela wanaweza kuhudumia kila kitu hata mkewe awe anafanya nini anaingiza kipato hana habari nacho. Lakini ni wachache. Majority siku hizi familia zinaboostiana. Unakuta labda mama yeye anafanya kazi ata handle matumizi ya chakula. Baba yeye karo, na maendeleo ya familia in terms of assets.
It was easier zamani ukihakikisha familia inakula inavaa, wana pa kulala basi umemaliza. Na bado kuna familia ziko hivyo na maisha ni rahisi kwao.
If you live in the past the future will never find you.
 
]Mungu aliwafanya wawe tegemezi kwa Wanaume ili wanyenyekiee Wakiwa wanashida Sasa kama Mwanamke Hanashida Atamnyenyekea mwanaume tena ingawa anamshahara mkubwa Mwanamke atamnyonya tu mwanaume kulipia Hous rents, Maji kila kitu atalipa Mwanaume,STUKA KIMBIA KABLA HUJAKIMBIWA,ONE MISTAKE GO AWAY.
 
Maisha yamebadilika ndio maana wanawake wanafanya kazi siku hizi tena wka juhudi kweli kweli.
Yamebadilikaje mzee?

Huu ndio ujinga kwamba ukiishiwa ulelewe free na mke wako?

Nonsense
Demands ni kubwa kiasi kwamba hata demands zake mwanamke wa kisasa kwa mishahara yetu halali unaweza usisitimize.
Sijui unatumia kipimo gani?...Wewe ni unafanya hizi estimations kutokana na kwamba huwezi kuhudumia haya maisha unayoishi sababu una ubongo mdogo

Usisingizie "hali"

Ni wajibu wako kufanya kila kitu,kama huwezi yanini unaongeza mtu mwingine aishi na wewe kama maisha yako ni magumu?
Huo ndio ukweli. Mwanamke anataka avae nywele inauzwa laki 8, awe anzo kibao. Una watoto watatu kila mmoja ada 3.5 mil, una gari 2 moja yako nyingine ya mkeo zote uweke mafuta ya kila mwezi.
Ukweli kikwako mzee

Hujui tu wajibu wako hapa duniani ni nini

Wewe umeoa msaidizi wa kukusaidia kurahisisha maisha yako?

Thats purely WRONG
My point is, huwezi linganisha maisha ya sasa na ya zamani. Tuna vitu vingi vinakula pesa. Yes, kuna watu wana ela wanaweza kuhudumia kila kitu hata mkewe awe anafanya nini anaingiza kipato hana habari nacho. Lakini ni wachache. Majority siku hizi familia zinaboostiana. Unakuta labda mama yeye anafanya kazi ata handle matumizi ya chakula. Baba yeye karo, na maendeleo ya familia in terms of assets.
Hii ya wachache umetoa wapi?

Mkuu,wazazi wetu walikua hawana lolote,ila baba ni wajibu wake na walisimama kwa usahihi,na walikua hawana hela unazowaza wewe.

Wewe unaleta sababu za blah blah kukwepa jukumu

What the fvck?
 
Yamebadilikaje mzee?

Huu ndio ujinga kwamba ukiishiwa ulelewe free na mke wako?

Nonsense

Sijui unatumia kipimo gani?...Wewe ni unafanya hizi estimations kutokana na kwamba huwezi kuhudumia haya maisha unayoishi sababu una ubongo mdogo

Usisingizie "hali"

Ni wajibu wako kufanya kila kitu,kama huwezi yanini unaongeza mtu mwingine aishi na wewe kama maisha yako ni magumu?

Ukweli kikwako mzee

Hujui tu wajibu wako hapa duniani ni nini

Wewe umeoa msaidizi wa kukusaidia kurahisisha maisha yako?

Thats purely WRONG

Hii ya wachache umetoa wapi?

Mkuu,wazazi wetu walikua hawana lolote,ila baba ni wajibu wake na walisimama kwa usahihi,na walikua hawana hela unazowaza wewe.

Wewe unaleta sababu za blah blah kukwepa jukumu

What the fvck?
Basi let's call it a day mr fvck fvck
 
Mzee baba,mimi sio Mr Fvck Fvck

I answered you without calling you names!

Return the favor!

Ila hivi kuhalalisha kutunzwa na MKE na unaona ndio halali,ni very sad and unfortunate!
Rudi kasome uliposema nina akili ndogo na mwisho fvck nyingi. Ndio maana nimekwambia let's call it a day Mr. fvck maana mtu mwenye akili ndogo kama mimi siwezi jadili na mwenye akili kubwa kama wewe mr. fvck
 
Kama mwanamke ni mcha Mungu na anajua umuhimu na heshima kwa mwanaume, basi kipato sio lolote na hapo anaweza hata akakusanya akampa mwanaume afungue hata biashara
Mbona wapo wanaume waliooa wafanyabiashara? Na wana maisha yao poa tu
Inategemea mwanamke umemtoa wapi muwe mnaangalia na mizizi sio matawi tu
 
Tatizo la watu WA dasalam ni kuiga kila kitu...mbona Sisi huku tunaishi mke ni daktari MD na mume ni mkulima na maisha yanaenda? Kipigo anachezea kama kawa .
Anazaa kama kawa na majukumu yote anafanya kama kawa.
 
Rudi kasome uliposema nina akili ndogo na mwisho fvck nyingi. Ndio maana nimekwambia let's call it a day Mr. fvck maana mtu mwenye akili ndogo kama mimi siwezi jadili na mwenye akili kubwa kama wewe mr. fvck
Mkuu,nadhani wewe ndio huelewi

"What the fvck" ndio umetukanwa wewe personally?

Nigga,hebu relax
 
Mkuu,nadhani wewe ndio huelewi

"What the fvck" ndio umetukanwa wewe personally?

Nigga,hebu relax
Rudi usome comment niliyokunukuu.... wewe umesema nina akili ndogo. Mimi nikaamua kukuita mr fvck... sijui ni signarure yako. Rudi usome ulichokiandika kabla ya mimi kuanza kukuita mr. fvck
 
Rudi usome comment niliyokunukuu.... wewe umesema nina akili ndogo. Mimi nikaamua kukuita mr fvck... sijui ni signarure yako. Rudi usome ulichokiandika kabla ya mimi kuanza kukuita mr. fvck
Mkuu,kama maisha haya wanayoishi wanadamu Bilioni 8 wanawake wanatunzwa na sio wanaume then wewe utakua na akili ndogo kusolve hili tatizo

You have to check yourself kabisa

Tumia ubongo wako kusolve matatizo uweze ku-provide for yourself kwanza na your FAMILY na sio kazi ya mwanamke

Thats the law

Labda uwe umekatika miguu au mikono au ume-paralyze,otherwise my nigga,check yourself again
 
Mkuu,kama maisha haya wanayoishi wanadamu Bilioni 8 wanawake wanatunzwa na sio wanaume then wewe utakua na akili ndogo kusolve hili tatizo

You have to check yourself kabisa

Tumia ubongo wako kusolve matatizo uweze ku-provide for yourself kwanza na your FAMILY na sio mwanamke

Thats the law

Na there is a reason its there!
Maisha yamebadilika ndio maana leo tuna rais mwanamke ambaye badala ya kukaa nyumbani atunze familia, yuko busy sana na hilo.
My point si kwamba ni jambo sawa mwanamke akutunze, but life is unpredictable kuna muda mambo yanaweza kwenda kombo ukiwa na mke wa kukubackup ni afadhali kuliko kuwa na mke atakayekupa stress.
Halafu mkuu unaongelea maisha ya jamii za kiafrika, huko vijijini ambapo hawaishi maishi ya kimjini mjini wanawake wengi ndio wanalisha familia. Wanalima sana kuendesha familia kuliko hata wanaume. Na huko ndiko kuna mfumo wa zama.
Narudia tena, life is unpredictable kuna muda life linachange wakati hujataraji... Katika akili ya akwaida hakuna mwanaume anayetaka kulelewa na mwanamke. But ukipata mke ambaye hakukimbii kwenye shida kama hizo ni jambo la kushukuru.
 
Mkuu

Utaruka ruka sana na huu ujinga

Mwanamke anatunzwa na mwanaume,FULL STOP!

Na sio kinyume

Ni jukumu lako kusolve hii puzzle as a man!
 
Good luck.
Uzuri kuna maisha ya JF na maisha halisi....
have a great day
Mkuu

Hii ni taboo kabisa

Hata mtu akikopa hela kwa mkewe hata kusema ni marufuku

Cha ajabu wewe upo hapa proudly unasherehekea "kutunzwa" na mke,sio hata kukopa kutoka kwake,hapana,ni kutunzwa!

Halafu mnasherehekea kabisa hapa as if ni sawa!
 
Back
Top Bottom