Mume anataka kumuacha mke kisa kumpeleka mtoto shule na ex wake

Nyie wanawake matatizo mengine huwa mnajitafutia! Mumeo kakuta ushsumizwa akaponya jeraha lako! Halafu mwisho wa siku unamwambia usinipangie kwa suala linalohusu mtu aliekuumiza
Hawa watu tulishaaswa kuishi nao kwa akili. Wana matatizo sana mkuu.
 
Kwanza naww ni mpuuzi mmoja , mwanamke gani hupendeki? baba wa watu kajitilea kwa kila kitu bado unaleta ubabe kuongozana na X wako mwee! kwani angekupenda si Angebak naww kwann ajilete baadaye , ushaur wa bure x harudiwi hata kam ni mzazi mwenziyo mfyuuuuu! ngoja uachike tuone kuwa hyo hawara atakupelk wap mwanamk mpumbav huibomoa nymb yake mwnyw umeniuz sna 😄
 
Shida ipo Kwa mwanamama, eti anasisitiza kabisa yule ni haki yake ni baba yake làzima tumpeleke wote.....mwanamke amepata mume aliempenda yeye na mtoto wake alafu hapo anamvuruga. Ameshasema mtoto amemaliza la saba, kwanini asifanye utaratibu wa kumkabidhi mtoto kwa baba yake rasmi ili akienda shule huko akirudi likizo anakuwa anakwenda kwa baba yake na anakwenda kwa mama yake pia kwa kuwa baba wa kambo amemkubali mtoto

Hawa watoto tunaozaa juu Kwa juu ifike mahala tuwarasimishe kwenye familia zetu, huyo baba yake ukute anahudumia huyo mtoto alafu mkewe hajui
 
😄 🤣 hebu wapumzishen hao single maza jmn kumbken ni dada zetu shangaz zetu na ndg zetu wana haki ya kuolewa they deserv second chance 😄
Hawa ukiwapa second chance wanakudharau sana
 
We mwanamke pumbavu sana mwanaume gani mwenye akili anaweza kukubali huu upupu wako
 
Wewe ni member wa JF ambaye hujatukanwa matusi mabaya sana na wanaume wanaopinga kuoa single ''mazas'' na sasa umetunga story ili utukanwe. Utakipata unachotafuta.
 
Dalili ya mwanamke ambaye sio mwaminifu na mwenye mahusiano nje kwanza kabisa ni swala la kibri na dharau pindi unapompa orders hatekelezi bila kujali utajiskiaje, ila anachoambiwa na king'asti wake wa nje anatekeleza by 100%.

Kingine ni kulalamika na kuona wewe unambana na kisingizio chao kikubwa atakwambia huna imani naye. Kwanini unashindwa kumuamini.

Dalili zote mtoa mada unazo na mumeo yupo sahihi kukutaliki. "What do we do to traitors?....We kill them" ~Hotel Rwanda film.
 
Ni kweli. Wanawake watembezi wanakuwa viburi sana na wanapenda kusema ''mbona huna imani nami?''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…