Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe utawaponza single mother wengi sana wasiolewe, tafadhali futa huu uzi. waonee huruma wenzio.wadau huyu Dada tumshauri nn?
Mume wangu anataka kuniacha kwa kumpeleka Mtoto shule Mimi na X ambaye tulizaa kabla ya ndoa!
Mimi ni mama wa watoto 3. Mtoto wangu wa kwanza nilizaa na mwanaume mwingine ambaye tulikuwa kwenye mahusiano lakini alikuja kuoa mwanamke mwingine. Mwanzo mimi na yeye hatukuwa tunaongea kabisa kwani aliniacha vibaya, baadaye nilikutana na huyu mume wangu wa sasa. Katika mahusiano alikuwa ni mwanaume mzuri mpaka nikasahau kama nilishawahi kuumizwa.
Mpaka tunafunga ndoa, nilikuwa sifikirii kabisa kuhusu baba wa mtoto wangu, kwani huyu mume wangu alikuwa ananihudumia mimi na mwanangu kwa kila kitu. Kuna kipindi baba wa mtoto alirudi na kuomba msamaha, akasema anataka kuwa sehemu ya maisha ya mtoto na kulipa ada na mambo mengine.
Nilimkubalia na kwa kuwa ni mtoto wangu sikuona haja ya kuomba ruhusa kutoka kwa mume wangu, hivyo akaanza kulipa ada. Baadaye nililazimika kumwambia mume wangu kuwa ada inalipwa na baba yake mtoto, kwani kuna kipindi walilipa ada mara mbili shuleni.
Mume wangu alilipa ada ya mtoto bila kuniambia, wakati huo baba yake alikuwa tayari ameshalipa. Alikasirika kwa nini sikumwambia, lakini nilimwambia ni mwanangu na yule ni baba yake, hivyo ana haki zote. Tuliongea, yakasahaulika kwani watu waliniambia hata kama yeye si baba wa mtoto, kwa heshima nilitakiwa kumwambia kwani alibeba majukumu wakati baba wa mtoto kanitelekeza. Niliomba msamaha, yakamalizika, tukarudi kwenye hali nzuri.
Mtoto wangu amemaliza darasa la saba mwaka huu, na kuna shule mimi na baba yake tulipanga kumpeleka ili afanye usaili, ambayo ipo mkoani. Nilipoongea na mume wangu kumwambia kuwa tunataka kumpeleka mtoto, aliniambia hapendi hicho kitu, kwamba kama ni kumpeleka, nimpeleke mimi mwenyewe au baba yake ampeleke mwenyewe lakini si kuongozana kwenye gari moja mpaka mkoani, alikataa kabisa.
Nilijaribu kumuelewesha kuwa yule tumeshatengana naye, ni mzazi mwenza wangu tu, lakini hata hakujali. Aliniambia, "kama vipi nitakupeleka mimi, ila siwezi kukuruhusu kupanda gari moja na X wako." Nilimwambia hapana, yule ni baba yake mtoto na ana haki hivyo huwezi kunipangia. Aliniambia, "kama ukienda, ukirudi rudi huko huko." Mimi namjua mume wangu, ni mtu wa kunitishia-tishia kwani anahisi hajiamini, kwa kuwa huyo baba wa mtoto ana pesa zaidi, anaona kama ana hofu. Hivyo nilimwambia hapana.
Tulipanga na baba wa mtoto tukampeleka mtoto huko mkoani, nilimuaga lakini hakunijibu chochote. Nilienda na sikufanya chochote, hata usiku nilimpigia video call ili aone kuwa sipo chumba kimoja na huyo mwanaume, lakini hakupokea. Baada ya interview, nilirudi nyumbani ila kufika niliambiwa kuwa baba ameondoka. Nilimpigia simu kumtafuta, akaniambia "nimekuachia nyumba utakaa na watoto, mimi sidhani kama naweza kuendelea kuwa mume wako tena."
Sikufanya chochote, nilikaa kimya nikijua kuwa hasira zikiisha atarudi, lakini juzi nimepewa wito wa kuitwa Baraza la usuluhishi kwani mume wangu amefungua madai ya talaka. Kaka, sijui nifanye nini. Ndoa yangu bado naipenda, sina mahusiano na baba wa mtoto; nilimpeleka tu mtoto, nashindwa kuelewa kama huyu mwanaume ananipenda kweli au la. Sikulala na X wangu na nimemwambia aongee naye, lakini hataki kabisa. Naomba ushauri wako, kaka, sijui nifanye nini?
HUPANGIWI JIPANGIE MWENYEWE SASA
Umenikumbusha wimbo wa mume bwege wa Max Bushoke! Hivi huyo mume angekuwa kaka yako ungemshauri kitu gani?wadau huyu Dada tumshauri nn?

Bwana naona kama mnatuchanganya nime experience kitu Toka kwa single mothers lkn hii ni Hatari zaidi msituumbie mmbo nakutuwekea chuki ktk mioyo yetu kuhusu Hawa watukijana mwenzangu usijaribu kabisa kuoa single mother, hii ni kwa usalama wa maisha yako, unaona scenario kama hizi jamaa alimtelekeza mshikaji kabeba jukumu, jamaa akajipata akarudi , matokeo yake ndo kama hivi
mpaka likutokee aisee, Kila kitu MUngu aliweka utaratibu ili watu wastawi vyema, ila familia ziwe bora na zenye furaha, Mungu aliasisi ndoa, na akasema wawili hawa wasiachane, isipokuwa tu kwa uzinzi, huyu kwasababu zake mwenyewe anazalishwa kabla ya ndoa, afu ww unakuja kumuoa huyo huyo, hivi unadhani kutakuwa na usalama hapo, inaweza ikawa salama kwako ila je kwa wanao,Bwana naona kama mnatuchanganya nime experience kitu Toka kwa single mothers lkn hii ni Hatari zaidi msituumbie mmbo nakutuwekea chuki ktk mioyo yetu kuhusu Hawa watu
Kiwizi mbea uwa Hana jirani ndyo maana single mother hiyooSingle maza ni hatar zaidi ya ugaidi au watu wasiojulikana.
Unaonekan uvaa suruali kama pepekale au madilu system na mashat ya vitenge kutokana na maneno Yako ya kizeeempaka likutokee aisee, Kila kitu MUngu aliweka utaratibu ili watu wastawi vyema, ila familia ziwe bora na zenye furaha, Mungu aliasisi ndoa, na akasema wawili hawa wasiachane, isipokuwa tu kwa uzinzi, huyu kwasababu zake mwenyewe anazalishwa kabla ya ndoa, afu ww unakuja kumuoa huyo huyo, hivi unadhani kutakuwa na usalama hapo, inaweza ikawa salama kwako ila je kwa wanao,
Dada aliutaka Kwa udi na uzumba acha jamaaa atulize moyo maan single mother ni hatar Kwa afyadada anaonekana ana kiburi
Dada aliutaka Kwa udi na uzumba acha jamaaa atulize moyo maan single mother ni hatar Kwa adada anaonekana ana kiburi
Yaan sisi ndyo tunaona single mother ni bomu la kimyakimyaHaya yote kasababisha jamaa kwa kuoa single maza
Walikutana wapi kuombana msamaha, inawezekana jamaa alipigaHapa ndipo ulipochemka, ulimshirikisha mumeo kwamba mzazi mwenzako anataka kuanza kumtunza mwanae, kama ulifanya hivyo je mliafikiana na mumeo pia kuhusu mipaka ya wewe na huyo x wako wakati mnamtunza hiyo mtoto wenu?
Punguza hasira kaka kama nakuona jinsi ulikwazika kiukwel inaumiza sana hasa sis wanaume tuliokaa kikao Cha mwisho janaNilimkubalia na kwa kuwa ni mtoto wangu sikuona haja ya kuomba ruhusa kutoka kwa mume wangu, hivyo akaanza kulipa ada. Baadaye nililazimika kumwambia mume wangu kuwa ada inalipwa na baba yake mtoto, kwani kuna kipindi walilipa ada mara mbili shuleni.
Shida ilianzia hapa 👆👆 binafsi yangu ningeachana na wewe hapo. Hakuna jambo baya kwenye ndoa kama dharau, kiburi, jeuri pamoja na kumchukulia mwenza wako poa.
Yaan mtu kakutomba kakudunga mimba kisha kakutelekeza hapo hapo kaenda kuoa mwanamke mwingine halafu anajitokeza msamaria mwema anaamua kukuheshimisha kwa kukuoa na matunzo ya mtoto aliyekukuta naye anatoa.
Kwa kiburi chako unaenda kupeleka taQo lako kwa x kwa kigezo kuwa anataka awe sehemu ya malezi ya mtoto! alikuwa wapi siku zote hizo? Kasubiri ndoa yako imeimarika ndio aje kukuletea MAPUMBU yake ,halafu na wewe ulivyo kenge +kima + punguani unaamua kutomshirikisha mumeo unajipeleka kwa huyo x wako! (Fuckup)! dude.....get your ass out of here right now!!!!!....go to hell.
Mume wako kakukatalia usiende huko Mkoani na huyo x wako, ukaona wewe jeuri sana ukaamua kwenda kibishi kwa kigezo cha kumpigia video call. We ni mbwa usiye na shukrani. Why don't you behave?! Have some respect to your husband.
Halafu vikikuchachia utakuja kusema wanaume wote ni mbwa. Huna adabu nungayembe mkubwa wewe!!
Mbona huleti mrejesho maana tuna tuna madukuduku mpaka tuone mwisho au bando nikutumie maan Toka mwaka Jana mpaka Leo silali kweny huu Uzi ujueJamaa alioa kwa ndoa halal,mwenye mtoto ni mzazi mwenzake ndo huyo amepewa airtime
Wanawake pasua kichwa hatari mkuuuWalikutana wapi kuombana msamaha, inawezekana jamaa alipiga
Binafsi mimi sitaweza tn maana nilian,a from the biggn lakn hatukufika popote hivo kutokana na experience nilioipata nimejiunga na chama kile moja kwa moja😂😂😂mpaka likutokee aisee, Kila kitu MUngu aliweka utaratibu ili watu wastawi vyema, ila familia ziwe bora na zenye furaha, Mungu aliasisi ndoa, na akasema wawili hawa wasiachane, isipokuwa tu kwa uzinzi, huyu kwasababu zake mwenyewe anazalishwa kabla ya ndoa, afu ww unakuja kumuoa huyo huyo, hivi unadhani kutakuwa na usalama hapo, inaweza ikawa salama kwako ila je kwa wanao,
Acha uoga, sio wote wapo hivyoBinafsi mimi sitaweza tn maana nilian,a from the biggn lakn hatukufika popote hivo kutokana na experience nilioipata nimejiunga na chama kile moja kwa moja😂😂😂