Wakikufumania LIVE hayo maneno hutayatamka. Utageukia kibla wahuni wafanye Yao.
Kuna mzee mmoja alifumaniwa live akiwa uchi, walim tight wakamwambia ampigie mke wake alete pesa pale pale gesti huku akiwa uchi au ageukie kibla wampake mafuta halafu picha wazitume kazini kwake na kwa waumini wenzake. Mzee alitoa ushirikiano wa Hali ya juu.
Usiombe uzungukwe na watu watano wewe ukiwa uchi kibabia kimesinyaa huku umesimama na mikono iko juu huku unarekodiwa hujui picha zitasambazwa au la. Kisa K ambayo hata kwenye kisahani Cha chai haijai.
Mwingine alifumaniwa akaambiwa amnyoe yule mwanamke mavuzi, akahisi Ni zoezi rahisi, baadae wakaleta mishkaki na kumwambia ale Ile mishkaki Yale mavuzi ndio Kama chumvi.
Alikula Ile mishkaki kweli Ila alipoachiwa na kutoka nje alitapika kila kilichokua tumboni, Bahati yake enzi zile hakuna simu zenye kamera.