Mume mwenye sifa hizi anahitajika

Inavyoonekana u-kawaida sana....ungekuwa wa ukweli usingefika huku jf,ila nikukumbushe tu kwamba takwimu za hivi karibuni zinaonyesha kwamba wanawake duniani ni wengi kulinganisha na wanaume,sasa wewe endelea kubaki na vigezo vyako mara paaaaap 40 miaka hii hapa.....hapo utakapojua kwa nini Idi amini anaitwa dada.
 
Sawa. Wasubirie Waje
Lea kwanza huyo Mtoto mtarajiwa,
Ngoja nisubirie masharti yalegee.
Ila naamini ipo siku utarudi na id Mpya kutafuta Mume.
 
Sawa. Wasubirie Waje
Lea kwanza huyo Mtoto mtarajiwa,
Ngoja nisubirie masharti yalegee.
Ila naamini ipo siku utarudi na id Mpya kutafuta Mume.
Kipi kimekushinda hapo
 
hahahahah wanaume wa JF wanachekesha sana,

hapa ukumbini watajidai ooh vigezo vingi utampata nani,sijui nini nini,ila huko PM utashangaa wanavyojipeleka ,kama sio wao vile,lol
 
Wakuswampa sifa zote ninazo kasoro moja tu nina miaka 29.8 vipi naruhusiwa
 
40 sio ishu...kuishi mwenyew pia sioni shida
 
wala usipunguze vigezo,

wengi tunakosea hapo,

unachukua mtu sababu tu yuko available,sio kwa vile anakidhi vigezo vyako,

mnachukuana,afu baadae mnaanza kuchepuka kupata vingine nje.
We endelea kumdanganya tu mwenzio kama wewe ndiyo muoaji,atasanda mpaka ajionee huruma
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wanaume hawa wanaotafutwa kwa vigezo kuna siku watawatafuta wao kwa vigezo baada ya nyie kuchoka.
 
Huyo alikutwisha huo mzigo keanini asikuoe?umenidhangaza kusema unataka mkristo lakini asiwe mlokole,sijui mlokole unamuogopea nini labda!
Walokole wanatabia sizipendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…