Mume na Mke Msipishane Sana Umri

Hakuna ndoa baina ya kiben10 na mshangazi wala mubaba na kislayqeen bali kuna mihemko tu ya kingono , kwahiyo kukutanisha kwao makojoleo ni katika kutafuta namna tu ya kupunguza nyegggeh na upwiru baina yao.
 
Duh yani mtu wa miaka 20 ampende wa miaka 60
 
Brother hebu acha basi nyumbani nimeacha ndara, haya Nachepuka naenda kutafuta ndara! Ujinga gani huo?
Hata mkeo akipata habari anaanza kukuuliza umeikosa Nini mme wangu mbona Kila kitu nakupa?
Lakini akikuona na kisu atabaki kusema haya bwana,
Maana anajua ulichoenda kukitafuta Hana! 🤣🤣🤣🤣
 
Hayo mahusiano mazuri sana ila kwanini hao wazee sio akina Majuto au Muhogo mchungu? 🤣

Ukitafakari kwa kina utagundua kuna jambo flani la kipekee 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…